jamaa mwenye kujiamulia maneno atakosa yote(brian)
2026-10-20 05:10:30
26
୨ৎ 𝓜𝓪𝔂𝓪 𝓑𝓮𝓵𝓵𝓮 ♡ :
Ala chriss fanya kuongeza kamda kidogo jmn
2026-10-20 05:32:41
7
Ghalib :
Mlete na Dada wa Diness aje aongeze nguvu kwa mama….naona kama mama anaelekea kushindwa!!!😀
2026-10-20 07:37:06
7
Viatory :
baba dainess hana baya kabisa
2026-10-20 08:06:06
13
salum :
jaman movie hii ni nzur sana pia inatuvitia watu wengi San naomben kwa siku vitoke hata vipande 3 tuuuu naomben mlifanyie kazi tunaipend sana CHIRISS LOVE STORIES
2026-10-20 05:53:11
11
bedbugs :
huy zamda so anaukimw au nmesahau mie 2
2026-10-20 08:45:51
2
PATRICK ANDREW KAY :
respect for all comedian
2026-10-22 22:22:03
1
🦋Chichi💕🥰 :
Brayani naona akikosa yote😳
Mtaka yote ukosa yote😂😂😂
2026-10-20 05:18:35
6
Minah Ramadhan :
mi nampenda tu ba dainesy mama dainesy arudi kwaooo🥺🥺🥺🥺😏😏😏😏