@infinitynest: 💰 Unataka kuuza internet na kusimamia wateja wako kwa urahisi? Unahitaji mfumo wa BILLING wa kusimamia vifurushi, malipo, muda wa matumizi na akaunti za wateja. 📲 Kwa mfano, MikroTik inaweza kusimamia Hotspot huku mfumo kama BillFi ukisaidia katika usimamizi wa billing, kutegemea integration iliyopo. 📡 Vibali ✅ Internet ✅ AP ✅ Mfumo ✅ Hivyo ndivyo unavyoanza kujenga biashara yako ya WISP! 💬 Una mpango wa kuanzisha WISP? Andika WISP kwenye comments. #WISP #BillFi #MikroTik #Hotspot #InternetBusiness

Eng. Ben Albert
Eng. Ben Albert
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 20 October 2026 04:57:34 GMT
1899
85
16
10

Music

Download

Comments

usermageuzikamkene
mageuzikamkene :
microtik sh ngap??
2026-10-23 12:56:09
1
swalehkuboma
~SK £MPIR€™ :
unapatikana wap
2026-10-27 08:21:17
0
judithkilyenyi
Judith Andrew :
WISP
2026-11-04 06:50:52
1
harunayusuf247
Haruna :
kama hiyo rb bei gan
2026-10-29 06:57:57
1
thespirou
boe canny :
hapo nime elewa vizuri
2026-10-20 08:33:38
1
jumaamichael
jumamichael :
Tp link Omada inauwezo wa kumanage kasi ya bando kwa kila mteja mfano bando la 1000 kasi mbps 5
2026-10-20 08:24:31
1
kasinet.ne.tz
KASINET :
Watu wanalishwa matangopoli et microtk haina umuhm wowote bola umeanza kuwasanua
2026-10-29 20:11:13
1
prabby12
prabby12 :
cambiam sh ngapi
2026-10-22 20:44:57
0
mcligo7
Mc ligo 7 :
wisp
2026-11-05 13:52:39
0
usermageuzikamkene
mageuzikamkene :
naomba namba yako
2026-10-23 12:57:36
0
To see more videos from user @infinitynest, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About