@0selius: ni mwendelezo

OSELIUS OSWARD🖊
OSELIUS OSWARD🖊
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 20 October 2026 05:49:08 GMT
11650
635
14
51

Music

Download

Comments

heaven.daima
Heaven Daima :
eeee Niko na kaka yangu alifaliki ananitokeya ariniomba chakura napesa manayake ?
2026-10-20 07:58:36
3
user5014836176080
yaeli sudja wa yesu :
kwakweli. kupitia. ushuda. unanipa. nguvu. yakongeza. safari. pasipo. kuchoka. faraja kubwa. yesu. anaweza. mbali. anakutowa. past. mombeye. na. mume. wangu. mungu. amutowe. mu. lana. na. ufungxa wa. jama yake. nema. impate. mume. wangu amtumikie. mungu
2026-10-20 13:02:42
3
tk3cg72081d5ru
John Billy444 :
Ukiwa na Yesu tu hata Wanaoamini Majini Wanakugwaya
2026-10-20 20:18:47
2
alexlugalala599
Alex the lilly 🌟🌟 :
TUACHE DHAMBI ILI TUPONE
2026-10-21 12:35:34
1
aminafocas
Amina Focas :
ni kweli kabisa maana mv Nyerere ukerewe wanasema mpaka sasa inasadika wapo
2026-10-20 14:00:50
1
aboumoto828
Abou moto :
tunao ishi kwa neema ya mung pekee gonga like
2026-10-20 10:42:06
3
kimami91
Pascazia barnaba Shimbe :
jamani mi nataman nije kanisani kwako
2026-10-20 08:16:11
2
user2618257330812
sejojo :
nafarijika mno 🙏
2026-10-21 07:22:43
1
josure146
josure :
ni kwel kuna mganga anawambiaga watu tupe jina lako na la mama yako nilikuaga sijaelewa
2026-10-21 04:48:41
1
neemaemmanuel20
user7628136374873 :
Yule wakwanza Yupoje
2026-10-20 06:17:52
2
kimami91
Pascazia barnaba Shimbe :
heee kumbe mchawi nae anaadui mchawi ila jamani 😂😂😂😂😂😂😂 nimefurahi kidogo
2026-10-20 08:20:49
1
aminafocas
Amina Focas :
mm bibi yangu alifaliki akapigwa picha ila picha ilionyesha mbwa kwenye jeneza
2026-10-20 14:10:08
1
To see more videos from user @0selius, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About