@morogoro.rrh: Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Morogoro inaungana na wadau wa afya duniani kuadhimisha siku hii, kwa kuhamasisha umuhimu wa huduma salama za ganzi na usingizi katika kuhakikisha wagonjwa wanapata matibabu kwa usalama na ubora. Huduma Bora Kipaumbele Chetu. #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿 #afya