@porcarlp:

Porcarlp
Porcarlp
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 20 October 2026 06:39:59 GMT
4582
557
11
8

Music

Download

Comments

mekant1
Mekant Used Items✅ :
First aid ile tulio Soma form one mnayo? 😳
2026-10-20 17:18:19
1
cleopatradeogratias1
CLEOPATRA NDEJEMBI :
Niwashauri tu, hao agent mnaotumia stend wananyanyasa sana wateja, imagine kama nauli elekezi kutoka singida kwenda dodoma ni 20k wao watakwambia 40k. Ama ukiwa unatokea Ushirombo kwenda Dar unaambiwa ulipie nauli kamili ya mwanzo wa safari mpaka mwisho wa safari yaan kutoka bukoba mpaka Dar. wanaboa sana. ukikata tiketi yako online wanakuzuia kupanda gari. badilisheni hicho tu
2026-10-20 19:11:17
1
ulimboka97
ulimboka97 :
Alaf kuna mda wa kufika kabla ya mda 🚀
2026-10-21 10:14:14
1
xouz_pappy
𝐽𝑜𝑢𝑧_𝑘𝑖𝑑𝑑🐶🐶 :
umeme wa hali ya juuu
2026-10-20 12:12:55
2
sanjarr.beey
SANJARR BEEY :
nitakuja kusafiri mpaka Dodoma nikifika hapo Dodoma naenda arusha nitapandia mwanza
2026-10-20 16:32:40
1
mniga.th
mniga the don :
2026-10-20 12:18:42
1
shabanmjiga
shabanmjiga :
ainaa ajaa yaa kujiwlezaa Sanaa dadaa ume malizaa
2026-10-20 12:47:01
1
goodluckdosantos2
MR.luxe Wigs :
🔥🔥🔥
2026-10-20 11:46:44
1
To see more videos from user @porcarlp, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About