@swaimaskitchen: unaweza ukapita hatua zote vizuri lkn ukafika kwenye kuchoma ukatoa vitu vya ajabu bila kujua hata kwenye kuchoma chapati pia yahitaji ujuzi #chapati #trending #viralvideo #tanzaniantiktok🇹🇿 #fypシ゚viral

Swaima
Swaima
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 20 October 2026 06:55:40 GMT
77892
1626
84
191

Music

Download

Comments

fatmahussein6711
lulu :
Naweza kutumia prestige?
2026-10-20 10:27:47
3
lucifer23467
Hellbound666 :
samahani, unga wa ina gani? whole wheat, ppf all purpose
2026-10-25 17:38:39
3
joyceamos212
joy's kitchen :
mim mbona sihangaiki km hawa lkn chapat zangu ni tamu na lainiiii watu wananisifia utamu wa chapat zangu mpk najisikia Raha km vile niwapandishie bei
2026-10-21 11:16:25
10
farzanaabb
Farzana Bhaloo :
Kilo moja umepata madonge mangapi Swaima?
2026-10-26 02:05:45
5
zawyakonyo
zawyakonyo :
mimi kwenye chapati hata sijui nafeli wap nimejaribu sana lakin wap😒
2026-10-21 05:37:52
3
shaymah.shilima
Shaymah Shilima :
kwaajil ya huy dada nmekua mpnz wa chapat ssa😅😅
2026-10-22 10:34:20
3
um.abdallah96
Um Abdallah :
Jamn mfateni swaima step-by-stepnjia anawapeni ni sahihi kabisa wezetu wamesoma na pesa na yy mungu amjalie kila la kher anawafundisha bure sote twa juwa kupika chapat bs zina ujuz wake kama asemavo chapat hazikandwi ukikanda sana ndio zina kuwa ngumu kwa sababu umetengeza. gym washkran
2026-10-24 08:28:37
2
chama9103
chama :
Shukran kipenzi kwa kutupa elimu. Mungu akubariki kipenzi na akupe afya njema
2026-11-01 21:16:13
1
zahrabalushi7
zahrabalushi7 :
Ur the best waiting for the 3rd part
2026-10-20 20:38:30
1
user4067027182794
user4067027182794 :
Wapima nn
2026-10-25 11:48:48
1
rey53884
Rey :
nisaidie natamani nijue
2026-11-01 18:58:24
1
shitalwatts
shitalwatts :
Asante
2026-10-22 07:46:43
2
wiser2356
Wiser💛 :
Unaona inakuwa ngum while u follow all the procedure
2026-10-20 14:52:00
2
dede.kapanga
Dede Kapanga :
ok
2026-10-28 10:04:51
1
khadijaali65513
Khadija Ali :
shukran
2026-10-25 12:47:00
1
shaymah.shilima
Shaymah Shilima :
madaam asant skueza kukusubria niljrb iv iv n maj ya bard nyie chapt ilikua nzur jmn uwh barikiw sasa nichukue yaa leo
2026-10-21 12:22:32
1
farzanaabb
Farzana Bhaloo :
Asante Saima[Red heart][Rose]
2026-10-20 16:55:09
1
nasramuhamed1
🌸Nana 🍓🤍 :
asante
2026-10-21 16:08:30
1
wiser2356
Wiser💛 :
Asante Nasubir kuchoma
2026-10-20 14:51:30
1
skinc0000
Baby girl :
party 3
2026-10-20 09:55:23
2
ann.ndungu71
Ann Ndung'u :
Alot of patience wuehh
2026-10-20 15:02:10
1
neemamwansasu513
Neema Mwansasu513 :
je kwa nini butter hujayeyusha?
2026-10-20 07:48:41
1
namymkwizu4
🦋Beterflay🦋 :
2026-10-20 09:56:18
1
ibtisamsaid761
nabina :
mashallah hbty allah akulipe kheri
2026-10-20 11:44:32
3
fatmahussein6711
lulu :
MashaAllah huna chuyo. Shukran
2026-10-20 09:42:51
2
To see more videos from user @swaimaskitchen, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About