@n1.pubg23: #RUST #rust #capcat #раст #edit #реки #брат @Rust player

«Editor»
«Editor»
Open In TikTok:
Region: US
Tuesday 20 October 2026 07:32:39 GMT
528
20
0
2

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @n1.pubg23, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

UKIOTA NDOTO HIZI (10) KUWA MAKINI SANA NI AGIZO KUTOKA  KWA MWENYEZI MUNGU KWAKO👇 1) NDOTO ZA POLISI Ukiota ndoto umekamatwa na POLISI mpaka ulivyo shituka haujaachiwa. Maana yake kwa mapana: Fahamu kwenye hatua zako kuna dosari. Badilisha mwenendo na nyendo zako. Njozi hii inaashiria umezidisha sana machafu ya dhambi, maneno machafu, mawazo machafu na matendo machafu. Huu ni ujumbe mzito kutoka kwa Mungu anakuambia PUNGUZA machafu, safisha moyo wako, rudi kwenye toba maana polisi katika ulimwengu wa roho ni jeshi la haki linalokukamata usiendelee kuharibika zaidi. 2) NDOTO YA KUFUKUZWA NA POLISI Ukiota ndoto unafukuzwa na polisi chukua tahadhari sana. Maana yake kwa mapana: Huu sio uwadui wa majini au binadamu kama watu wengi wanavyodhani. Ila ni jeshi la Mungu lipo kwenye upelelezi juu ya maisha yako. Mungu anakufuatilia kwa ukaribu. Anakupa nafasi ubadilike. Badilisha mienendo yako, acha njia zako mbovu maana ukiendelea kukimbia haki, utakamatwa na adhabu itakuwa kubwa. 3) KUMUOTA MWANAJESHI MWENYE CHEO KIKUBWA Ikiwa kwenye ndoto zako mara nyingi unamuota mwanajeshi mwenye vyeo vikubwa upo karibu nae na wala hakufanyi kitu chochote kibaya. Maana yake kwa mapana: Wewe una ulinzi mkubwa sana wa Mungu. Mungu ameweka walinzi wake wa kiroho kukuzunguka. Lakini akikisha unatenda maagizo ya Mungu kwa usahihi. Wewe ni mtu hatari kiroho, una nguvu ya kiroho kubwa ambayo adui anaiogopa, usiichezee kwa dhambi. 4) KUOTA UPO JELA Ikiwa ndoto zako nyingi unaota upo jela peke yako na unashiriki shughuli za jela kama wafungwa wengine.  Fahamu upo kwenye jela ya kiroho ya Mungu. Ulivunja uaminifu na agano ulilowekewa na Mungu. Kusonga mbele kimaisha, kifamilia na kimaendeleo itakuwa ngumu sana mpaka utakapo funguliwa. Unahitaji kutubu na kuomba msamaha wa kuvunja maagizo. 5) KUOTA UNATOA MSAADA WA KUWATOA WAFUNGWA JELA Ukiota ndoto umeenda kutoa wafungwa jela na kubaki huru wewe. Fahamu upo kwenye dunia hii kwa agizo maalumu la Mungu. Wewe umeumbwa kuwa mkombozi wa familia na watu wengine. Mungu amekupa funguo za kufungua watu waliofungwa kiroho. Kuwa makini sana usipuuze kazi yako ya kiroho maana ndio chanzo cha mafanikio yako. 6) KUOTA UMEPANDA CHEO AU UNAVALISHWA CHEO Ukiwa umeota ndoto umepanda cheo au unavalishwa cheo fulani kazini au kijeshi.  Fahamu unatimiza vizuri sana maagizo ya Mungu. Mungu ameridhika na utii wako. Na utafanikiwa sana hivi karibuni. Kupandishwa cheo rohoni ni ishara daraja yako inaongezeka na baraka za kimwili zinafuata. 7) KUOTA UNAONGEA NA RAIS WA NCHI Kama umeota unaongea na Rais wa nchi ana kwa ana.  Fahamu una mamlaka makubwa sana kiroho. Na uwezo wako, nguvu zako, na daraja yako ya kiroho imepanda sana. Maneno yako sasa yana uzito mbele za Mungu na mbele za wanadamu. Unachokisema kwa maombi kitatokea. Tumia mamlaka hiyo vizuri kwa kuombea wengine na sio kwa kujivuna. 8) KUOTA UNAOMBEA WATU NA WANAFANIKIWA Ukiota ndoto unaombea watu na wanafanikiwa baada ya maombi yako. fahamu wewe una agizo maalumu kutoka kwa Mungu la kuwa mwombezi. Utafanya kila kazi lakini haitoleta mafanikio ya kudumu mpaka urudi kwenye agizo lako la asili la kuombea watu. Kazi yako ya ajira ni ya pili, kazi yako ya kwanza ni madhabahuni. 9) KUMUOTA MZAZI ALIEKUFA ANAKUFUATA Ikiwa mzazi wako amesha kufa na kila mara anakufata usingizini kwa huzuni na unyonge. Ukiamka muombee sana kwa nguvu zote. Ila pia fahamu kuna agizo la kifamilia, la ukoo, linatakiwa liwekwe sawa. Kuna ahadi au laana au agano la kifamilia halijawekwa sawa. Na mtu wa kuliweka sawa na kulikatia ni wewe. Mzazi anakujia kama ujumbe wa mizizi ya familia. 10) KUFATILIA DARSA HIZI ZA KIROHO SANA Ukiona unapenda sana kufatilia darsa za kiroho kama hizi bila kuchoka. Fahamu una agizo kubwa sana kutoka kwa Mungu ambalo bado halijatimizwa. Roho yako inakiu na inatafuta majibu.  Tafsiri za ndoto zako, ushauri na maombi, utabiri wa maisha yako, Gharama ni TSh 20,000 Wasiliana na mimi Doctor Mussa Sowa Whatsapp / Call +255784120592 #Manukato #BahatiNzuri #UtajiriNaMali #PeteZaKiroho #mapenzinabiashara

About