@captainnyotatv: MADUNDO: WASANII WA SANA SHAMBA WATAWACHOSHA MASHABIKI? Muundaji wa maudhui kutoka Pwani, @MADUNDO 254 amezua mjadala baada ya kudai kuwa wasanii wa Sana Shamba kama @MAKAMANDA wanahitaji kubadilika kimuziki ili wasiwachoshe mashabiki kwa style ileile. Je, kukosa ubunifu kunaweza kuufanya muziki wa Sana Shamba kupoteza mashabiki na nafasi yake sokoni? 🎥 Exclusive interview iko YouTube sasa kupitia Captain Nyota TV! SWALI NI MOJA: Madundo anaongea ukweli au anawabeza wasanii wa Sana Shamba? Na Makamanda wanahitaji kubadilika? Toa maoni yako kwenye comments!
CAPTAIN NYOTA TV
Region: KE
Tuesday 20 October 2026 07:35:06 GMT
Music
Download
Comments
Tsawe Mkila3 :
wambie broo
2026-10-21 16:02:10
0
Bosco B Man ke :
congrats madundo you have done it what needed sure waambie ukweli
2026-10-22 15:09:18
0
BA Roma :
𝙏𝙧𝙪𝙚 𝙮𝙪𝙠𝙤 𝙣𝙖 𝙥𝙤𝙞𝙣𝙩
2026-10-21 05:32:32
0
Yaah :
"sana shamba"... That's a signature move broo
2026-10-22 08:25:15
0
spooki~KE :
wueeeh pole pole acha wajitafute
2026-10-21 13:00:34
0
Brian.k :
we madudo pia ww badilisha content
2026-10-20 08:20:50
215
Aburaslaan :
basi tusikilizeni qur'an wallah haichokeshi kabisa
2026-10-21 03:01:58
172
Kijana mwepesi :
Anaongea ukweli lakini vile hatupendi kusikia ukweli tutamtukana😂😂
2026-10-20 10:27:08
207
SoloBinraj :
sana Shamba ni signature sio ngoma,angalia signature ya Ali Kiba yo
2026-10-20 12:56:13
53
MAKUPE :
kila mara eti , "kuja vile unakuja" kwani wao ni polisi🤣🤣
2026-10-20 11:28:21
48
MNYAMWEZI🌙 :
Its true
2026-10-21 05:19:32
1
Pwani Dishes Dala :
wivu inamsumbua
2026-10-20 13:30:08
18
Kipanga :
wasanii wa sana shamba mm siwezi sikiliza nyimbo zenye hazina maana n upuzi tu
2026-10-22 09:19:13
7
kanze🥰 :
na wanyoe izo mwele zao wanakaaa wakora😒😒😒😒😒waizi
2026-10-20 14:15:06
9
ndosii🤑 :
ukiona majaribu mingi jua unafanya kweli
2026-10-20 08:34:52
34
ALVANNY :
madundo amesema ukweli walai
2026-10-20 09:21:39
23
LAGO FILIMS :
kama Kuna siku umesema ni Leo bro
2026-10-21 17:10:53
5
manndulu :
Iko sawa madundo hapo umetoa point yamaana sana😂😂
2026-10-20 10:25:59
10
Ali Shomela :
kabisa wabadilishe nyimbo zao ni za matusi tu na hazina mfumo wa kufundisha jamii
2026-10-20 10:42:58
7
COBRA 🐍 :
waambie ukwl 🤣🤣🤣🤣😂
2026-10-20 09:10:28
7
Mr careful :
😂😂😂 mombasa nae ni kama wa relate na rap, unataka raper haimbe amapiano😂😂😂
2026-10-20 09:18:02
5
Silent Valley brand :
by the way...wanafaa wapige ngoma tofauti tofauti
2026-10-22 09:13:32
2
Mahzy :
kabisaa madundoo[Tears of joy]
2026-10-21 09:05:42
3
user8492507615304 :
kabisaa wameishiwa hao madogo
2026-10-21 14:03:24
4
cutecute girl 254🇰🇪🇸🇦 :
😂
2026-10-20 16:39:31
1
To see more videos from user @captainnyotatv, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.