shekhe apo ata ukipita private jet,,,lazima watakwambia ata inapiga kelele ,,,yan apo kosa ni kosa kosa kosea
2026-10-20 09:59:06
4
kila 7 :
hz n mudflaps au ni mud guard?
2026-10-21 18:25:08
0
JANJARO TRUCK DRIVER🇹🇿 :
sikiliza kakate izo loki za mashine za belt apo usawa wa difu kweny tela alafu rudishia izo flepa azitokatika tena
2026-10-21 11:53:00
2
‼️lahoya :
kaka kumbe ulikuwa ujui kama hapo ni Tollget ya kwacha 50
2026-10-21 05:34:12
2
user2976594458496 :
braza naomba kazi
2026-10-23 08:07:36
0
othuman salum :
apo ukikaribia hiyo check point funga izo flepa yana wasipokuta lazima 50 ikutoke ndugu yan washajua kuwa gari zote ni mpya kwa sasa kwa hiyo wanadiri na hizo flepa Pole sana
2026-10-20 09:41:02
6
salanga jr :
dah! sio pw hp
2026-10-20 16:49:38
0
Shabani Mkumbwa :
tz shida zambia shida daaaaah kweli jombaaa
2026-10-20 10:51:02
3
Paul Machembe :
haisaidii toa kwacha yao uondoke ukiwa na difrep wanatafuta kosa jingine yaani Hilo geti kwa sasa tumelipa Jina la geti la kwacha 50
2026-10-20 18:02:02
1
Noel Naftaly :
pole Sana dereva samahani kwa uwelewa wangu hizo ulizonweka happo juu ni bampa na kwenye difu nikweli hauna dufrepa kuna bampa difrepa nihizo hapo kwenye trella xell ya mwisho hizo nyeupe zilizo ninginia nyuma kabisa uwo ndio uwelewa wangu
2026-10-20 18:55:31
1
Bin shaku😎 :
pole sana kaka mim pia jana tuu apo kimeniramba
2026-10-20 14:01:10
0
user13227028500104 :
naona ni miradi ya kupata hela cyo tenda kulinda usalama
2026-10-21 23:06:35
1
MSELA😎CHA😎DU🇹🇿🇿🇲🇨🇩 :
noma zee
2026-10-20 16:53:09
1
Jr Charter :
hapo ni toll plaza ya police ulikuwa hujui😂😂😂
2026-10-20 12:42:13
0
🫠😉ramso🤣🤔🤐 :
hapo noma apo
2026-10-20 12:07:08
0
mkindai :
Sawa semaji
2026-10-20 09:39:25
0
Queen of trucks :
wanasumbua sana hapo lazima uache pesa
2026-10-20 20:21:48
1
🦅 Herry Eagle :
tusha zoea mkuu apo jikoni 😂
2026-10-20 18:43:15
2
😎AMOR HANS😎 (ARENA) :
Kwani zina maanagani kwa upande wao maana kuuliza sioujinga mimi naenda nchi mbali mbali ila huko sijafika nataka kufahamu ili lisije nikuta
2026-10-20 09:09:25
0
ngoniboy87 :
Sasa sindio kosa lenyewe mkuu
2026-10-20 10:11:13
0
ngosha OG :
hapa hata gari ikiwa imetoka kiwandani muda huo lazima wakutafutie kosa wapate hela cha msingi hiyo check point maboss waitambue watupe fungu la hapo kama kanso
2026-10-20 12:37:51
0
Kanda ya Ziwa :
Hapo Kuna toll plaza ya kwacha 50. hata kama una gari inakila kitu
2026-10-20 12:40:00
0
hussein :
hapo kaka toa kwacha 50 huwez pita bila hela
2026-10-20 09:41:03
0
Leon komba :
kwacha 50 ni 6000 tz
2026-10-20 09:58:19
0
Mr ROAD LiFE🇿🇦🇿🇲🇨🇩 :
ndo kosa iloo tear
2026-10-20 09:35:53
0
To see more videos from user @young.of.africa.tz456, please go to the Tikwm
homepage.