@talkboutitwithconradley: Wakati mwingine tatizo sio kwamba hupendwi. Tatizo ni yale mambo unayoyafanya kwa siri au kwa wazi ukiamini unatafuta upendo, kumbe unajiaribia. Sweetheart..Kuna makosa makubwa umeyafanya mwanzoni mwa uhusiano wako na yamekugharimu furaha yako. #tiktokkenya🇰🇪 #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokuganda🇺🇬🇺🇬🇺🇬 #marriage #fyp
kosa langu ni lipi hapa kumpenda hata kama hanihudumii ipasavyo? kuvumilia dharau zake? uongo wake?! nashindwa nifanyeje💔
2026-10-20 08:26:02
8
Wakishua😜 :
Nimefanya mengi kuliko hata hayo 3
2026-10-20 09:09:55
2
CEOheaven255 :
Somo ambalo wengi tumejifunza in hard way kama umewah kukosea ukiamini unatengeneza familia dears wanaume wanakinai sana tujifunze kuwa sisi bila mapenz kutubadilisha kuwafwata watakavyo ht Bible inasema tuwaheshimu tu sio tujibadilisha haya maamuzi yetu ndo yanatuponza wengi
2026-10-20 08:50:33
5
mom ishan🎀 :
niongee kwa kukaa au kusimama😊
2026-10-20 09:51:31
2
natalia lyimo :
kaka umesema point kubwa sana na yote nimeyafanya
2026-10-20 08:52:40
2
imara :
Naam
2026-10-20 10:57:54
0
Ninah'store :
hamkuniambia mapema😂
2026-10-20 11:06:26
0
Darlene 😊 :
God Abeg 😔
2026-10-20 08:20:30
2
siahissa🌹❤️ :
juzi nilimwambia siwezi kukufulia na haujanioa anakasirika😂😂 nishafanya kosa mara ya kwanza siwez kurudia kosa
2026-10-20 10:09:55
0
clara2021lovely :
mi nimependa number moja na tatu ikiwa number moja niliijua muda sana na naishi nayo
2026-10-20 09:47:24
1
Madam reen✨✨💕 :
2026-10-20 09:16:54
1
mom mina 💦💦 :
kujitoa mm na kumueka yeye kipaumbel kingine kumpa njia ya kufanikiwa kuvumilia changamoto zake naon hay ndo makosa yangu
2026-10-20 09:36:15
1
vessah_deus :
Mwamba kbs🫂
2026-10-20 10:18:58
0
kal :
hata huwa siumii nikiachana na mtu,,, nadhani ni kwa sababu sijawahi fanya kati ya hayo ulosema
2026-10-20 09:23:06
1
Mam_top_knots :
👌👌👌
2026-10-20 09:06:38
0
Tirina :
kabisa kak
2026-10-20 09:34:04
0
Wakishua😜 :
Fungua bs video
2026-10-20 09:09:35
1
princess 👸 tiffah :
ni kweli kbsaaa kaka
2026-10-20 11:10:37
0
dada rebby :
nimefanya mengii bt ila hakunichagua mm tena
2026-10-20 11:08:32
0
Ismat Lee Iqram Iqram :
😁😁😂
2026-10-20 09:20:37
1
mamuh🥰 :
😭😭😭
2026-10-20 08:43:44
1
To see more videos from user @talkboutitwithconradley, please go to the Tikwm
homepage.