@itscarlue: "Kuanzia utaratibu wa kuingia msikitini, mavazi (stara), namna wanavyokaa mikao wametuzidi kwa asilimia kubwa sana" Mc Lameck Simbo ✍️ - #itscarlue #foryoupağe #instagramreels

𝐂𝐚𝐫𝐥𝐮e ♾️
𝐂𝐚𝐫𝐥𝐮e ♾️
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 20 October 2026 08:34:05 GMT
48104
2847
376
117

Music

Download

Comments

kipingu2804
Chief Kipingu04 :
Takbiriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Tumswaliiiiiiiie Mtume Waislam
2026-10-20 13:43:57
3
user6226923819614
45 👊 :
waislam takbir
2026-10-20 13:17:31
79
allymuawiyahmuawi
KIKOSI CHA NOVEMBER :
ALLAH AKUONGOZE UIONE HAKI INSHALLAH
2026-10-20 10:36:46
205
medy_touch
medytech :
tunaambiwaga hatuwapi uhuru wake zetu[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-20 13:24:45
0
naymuu6
Naymuu :
Huo ni mwanzo wa kuiona haki
2026-10-20 10:38:44
210
www.sidesaid
baba_mulhat🇹🇿 :
Hakika brother [Pray][Pray][Pray][Pray][Pray][Pray]
2026-10-20 13:30:57
0
shia781227
Baide :
ukiristor sio dini sahihi
2026-10-20 10:45:40
61
kaogee4
mathaboys :
takbir
2026-10-20 12:09:01
43
msemohassan12
@msemo_hassan :
hapo unachanganya dini ambayo ni sheria za mungu na dini ambayo ni sheria za binadamu .uislam unafata sheria za mungu na hazifai kuongeza wala kupunguza ila ukristo sheria nyingi zinatengenezwa na viongozi
2026-10-20 10:26:31
73
user2426079316214
Faa@🌹🕋kongoti :
taqbeeer
2026-10-20 12:59:31
0
hassanimsangi770
Hassani Msangi :
yesu hajaingia Kanisani kanisa lilianzishwa baada ya yesu kuondoka
2026-10-20 11:45:47
15
egg14347
egga :
waislam takbir
2026-10-20 13:14:03
18
hamqaati
hamqaati :
Allaah akujaalie uendelee kufanya utafiti na usilimu kwaajili ya Allaah
2026-10-20 10:26:19
37
barisbreezy2
Baris 😎 :
Allah akubariki ipo siku utakuwa upande wetu in Sha Allah
2026-10-20 08:48:31
61
bazaar997
BAZAAR :
DINI YA UISLAM HAIENDI KWA MTAZAMO WA MTU BALI NI MAFUNDISHO YA ALLAH ANAYEJUA KILA KITU VYA SIRI NA DHAHIRI🥰🥰🥰
2026-10-20 10:40:31
50
jovin.jofrey
Jovin Jofrey :
Exactly 💯
2026-10-20 11:13:27
1
abdunurusimkwasa
Abdunuru Simkwasa :
Dini ya kweli hapo ni Uislam tu
2026-10-20 10:53:54
18
user526002422962
Adam aljaby :
mungu Akuongezee ufahamu zaidi ya huo
2026-10-20 10:08:53
18
binalliy
binalliy :
Huyu ndiyo mkristo anahoji ana uliza anasifia halaf aman imemjaa big up bro mi MUISLAM nawakubal wakristo kam huyu
2026-10-20 11:18:11
17
user5856282656722
nurdin :
mtume muhammad rehema na amani ziwe juu yake anasema wasipo tuelewa kwenye kitabu chetu watatuelewa kwenye matendo yetu
2026-10-20 12:27:57
11
kudramwete
KUDRA MWETE :
Allah akujaalie uyajue mengi zaidi na upate mwisho mwema hapa duniani katika uislamu inshallah
2026-10-20 11:16:02
17
msangule12
Omary Msangule :
Safi kibisa
2026-10-20 10:26:20
12
khatibabass
KINGDOM :
kama umejua kitu hicho ulipaswa ujue mengi zaidi ya hayo
2026-10-20 10:30:23
8
kassimu.mbaruku
Kassimu Mbaruku :
mwanzo mzuri kwako
2026-10-20 10:18:17
8
kasimu.ramadhani7
Kasimu Ramadhani :
SAUTI YA MALAIKA YU NDANI YAKO nawala sio uwezo wako wa kufikiri bro! mungu amekuchagua ufikishe ujumbe huo kwa waumini na wasipuuze
2026-10-20 08:57:37
8
To see more videos from user @itscarlue, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About