@charmy.babysalma: #tanzaniantiktok🇹🇿#tanzania jaman naomba mniambie kama wapo

charmy babySalma Nassor
charmy babySalma Nassor
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 20 October 2026 08:37:18 GMT
25084
1374
383
59

Music

Download

Comments

kottontanzania23_
Kotton | Tanzania 🇹🇿 :
Sheikh Sharif Majini [Tears of joy]
2026-10-20 20:27:48
0
otieno9328
otieno :
kwanza what is your name??
2026-10-20 20:03:28
0
mr.mosha47
Kelvin Mosha :
kelvin [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-20 23:40:55
0
user9040412228775
kombo :
Mganga anatakiwa ajue kuisoma Qur-an
2026-10-20 17:29:22
26
mohammed308810
moudy :
kama unataka kuolewa sema tu
2026-10-20 14:01:02
18
ally.mtawa3
Ally Mtawa 🇹🇿 :
Sio mganga mkristu tu pia hakuna mganga mchaga.[Tears of joy]
2026-10-20 13:18:14
20
user2242239710494
user2242239710494 :
umewaza mbali dada tutakua wote ktk ufulume wamungu
2026-10-20 21:58:29
2
ally.kasti.adam
Ally Kasti Adam :
nenda mbeya,sumbawanga,iringa,songwe,morogoro,shinyanga,singida,simiyu,geita,mara,
2026-10-20 16:44:16
5
robert.benzika
Robert Benzika :
kwa Kristo hakuna shiriki
2026-10-20 16:08:16
7
user6272363436549
njuku :
Wapo weng tu kwetu anaitwa jemsi
2026-10-20 20:39:56
1
laswayjr
laswayjr :
Mganga wetu ni Yesu Kristu na ndio mganga wa kweli.
2026-10-20 16:56:54
6
dulliy654
Abdul-hamid Ali275 :
hahaha njoo nikupeleke kwa baba Janet
2026-10-20 15:02:11
5
athumaniomary255
Athumani Omary :
Mi ninae mbona rafik yangu mkristo na ni mganga
2026-10-20 20:20:31
1
user_0696965936
A bizoo 12 :
Njoo geita
2026-10-20 20:39:04
0
abohudheifa
abohudheifa :
kama hujaskia ww haimaanishi kua hawapo
2026-10-20 19:42:24
0
godismystrenght11
@Godisgreat+ :
😃😃😃😃😃 upo sahihi, na kama wapo Tanzania nzima basi watakuwa wa 4
2026-10-20 16:06:40
1
cnglemaster255
cngle☣master🇹🇿 :
wapo wengi ujatembea tu
2026-10-20 19:59:39
1
user7156632877662
Reyzngoliga :
mbn mm baba angu ni mkristo na nimganga
2026-10-20 18:14:25
0
dodoma017
hk :
wapi Tu mbona wengi Sana mamaaaa
2026-10-20 18:09:26
0
nurumhina203
Nuru Mhina203 :
wapo mdogo wangu wengi tu
2026-10-20 16:45:25
0
khamsuus
Abuu Nauthar :
mbona unasema weng ni waisilamu sasa hao wachache ni wepi!
2026-10-20 19:37:09
1
allen.elisa
Allen Elisa :
hata mimi sijawahi kusikia kwa kweli,
2026-10-20 18:01:19
3
cutequeenmaria01
RealofficialMariamTz :
unaish wapi kama pwani sawa ila kama unaenda bara uko utawakuta kibao
2026-10-20 16:01:25
4
aminahmed556
hurry Potter 1 :
mwanzo waganga wote watumia majina ya Kiislamu hata akiwa mchristo ili kuvuto wateja
2026-10-20 18:57:05
1
swalehabdalla20
babake salim :
njoo kenya sehemu inaitwa kitui 🥹🥹
2026-10-20 16:28:34
1
To see more videos from user @charmy.babysalma, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About