@afya.na.apasi: DALILI KALI ZA UTI KUSHAMBULIA FIGO! UTI ikipanda kutoka kwenye kibofu hadi kwenye figo inaweza kusababisha maambukizi makali (Pyelonephritis). Ikichelewa kutibiwa, inaweza kuathiri utendaji wa figo. Dalili za hatari: Maumivu makali ya mgongo na ubavu. Homa kali na kutetemeka. Kichefuchefu na kutapika. Mkojo wenye damu au maumivu wakati wa kukojoa. Miguu kuvimba au mkojo kupungua sana — vinaweza kuashiria tatizo la figo. OKOA AFYA YA FIGO ZAKO! Ukiona dalili hizi, nenda hospitalini haraka kwa uchunguzi na tiba sahihi. 📩 UTI inakurudia mara kwa mara? Tuma ujumbe INBOX upate mwongozo wa hatua sahihi za kuchukua.whatssap/ call +255621248427. #UTI #apasiclinic #men #tanzaniantiktok🇹🇿🇹🇿🇹🇿fyp #viralvideo

APASI HERBAL CLINIC 🎉
APASI HERBAL CLINIC 🎉
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 20 October 2026 08:49:07 GMT
285
7
0
2

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @afya.na.apasi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About