Thank you [Perfect score][Perfect score][Perfect score][Perfect score][Perfect score][Perfect score][Perfect score]
2026-10-21 05:51:35
1
Nakomba :
Well said kunywa pepsi dia i’ll pay
2026-10-21 14:43:42
1
mumbi :
you can say that again 🥰
2026-10-20 23:42:14
0
kauthar :
that true
2026-10-20 19:01:22
1
No one :
bringing a child into poverty is more cruel than arbotion
2026-10-20 13:57:22
154
rahma 99 :
🥹 swadakta brother 🙌
2026-10-20 17:55:10
1
Boss lady Empire ♉️ ❤️❤️❤️ :
watoto ni majukumu co baraka jmn
2026-10-20 18:35:04
79
Adellajohn :
nilizaa mtoto mmoja kabla ya ndoa. nikaumia sana lakini ndipo nilipojifunzaga kutokana na makosa. nikabana miguu yangu mtoto ana miaka 7 sasa darasa la pili kwa huruma za Mungu anasoma vizuri. sikutaka tena kurudia ujinga,nimeolewa ndoa na mtu mwingine,ina mwaka lakini niliapa sitokurupuka tena kwa suala la kuleta kiumbe duniani ambapo kitakuta mazingira hovyo. never!! Lazima mikakati iwepo mezani. mambo ya kupanuapanua tu miguu haya mwishowe kushindwa kuongoza na kulea watoto vyema.
2026-10-20 11:14:44
98
samootz :
mm nazan Sheria zitungwe Kali kama una kipato amna kuwa na mtoto
2026-10-20 11:44:26
60
𝑴𝒔. 𝑬 🖤 :
Kwanza mtoto anakuja uchi tu Bila nguo 😂😂😂
2026-10-21 05:29:05
13
Kiribati :
Nina mtoto miaka 8 😁😁 naogopa kuzaa mwingine jamani sio kwa haya majukumu
2026-10-20 18:46:38
21
JoJolove. :
wisdom ❤️❤️
2026-10-21 05:29:58
1
Mimah Harith :
Mimi huyu mmoja anaanitosha, anasoma shule nzuri anakaa pazuri Mashallah staki kero kwa kaka zangu baadae nije kuwa omba omba bure.
2026-10-20 19:28:07
13
aishamadimpz :
Atuwezi pinga kauli ya mungu kama niko kwa ndoa mwendo wa kutekeleza amli ayo mengine mungu atajua jilani akinilelea mwanangu ndio riziki yake uyo mtoto mungu kampa ndiomaana kila mtoto na rizk yk
2026-10-21 07:06:54
5
Victoria Abel :
wanaume wenye akili kama ivyo kumbe wapo
2026-10-20 20:06:12
11
🌹Gian mom🫦🇹🇿 :
izi habari za kila mtt anakuja na sahani yake ni upotovu tangu lini kondo likatoka na ela ya malezi ya mtt😳hebu tuzae tukiwa tumeshajipanga jmn
2026-10-20 20:06:00
32
denshyjoel :
kweli alafu wanataka mtoto akikuwa ndo atafute asaidie nyumbani na asomeshe wadogo zake ukichekea mzazi utakandamizwa kusomesha kulisha kulea wadogo zako na hata wakubwa zako nyumabni tuzaeni kwa mpango nini mmoja nataka niongeze mwengine mmoja
2026-10-21 05:03:43
7
abdallah :
iyo habar ya kila mtoto ana sahan yake sijawahi kuielewa ni imani tuu haina mashiko,bila mikakati utajitafutia ugumu tuu usio wa lazma
2026-10-20 18:52:47
22
Maureen Kimuli :
😂😂😂😂Tell them bro ukweli kabisa
2026-10-21 06:36:45
5
maneno :
ww unanizidi nn mm niliozaa watt 12
2026-10-20 11:23:47
5
Bosset collection :
Watakuchukia wapenda tabia mbaya
2026-10-20 11:53:23
19
Meswah Mohammed❤️ :
Mbona hamkusema mapema😫😆💔
2026-10-20 15:57:35
5
rehema :
kwely kaka naushuhuda kwa mtu na hatakiii kuambiwa anasema asipangiwe alf tunaumia familia
2026-10-20 18:18:36
8
Mama Africa designer 🇹🇿👗✂️ :
Ukitaka kujua ndiyo maana hatuendelei ona habari kama hizi hazipewe muda watu wapo less
2026-10-20 13:29:55
12
Mercedes maresa :
sahivi kampeni za hivi zianze kuwekwa wazi
2026-10-20 14:48:30
8
To see more videos from user @momadini_, please go to the Tikwm
homepage.