@islamic_rihla: Usikate tamaa kuomba dua hata kama bado hujaona ulichokiomba kikitimia. Kwa mujibu wa mafundisho ya Kiislamu, dua inaweza kujibiwa, ikawa sababu ya kuondolewa kwa shari, au malipo yake yakahifadhiwa kwa ajili ya Akhera. Endelea kumuomba Allah kwa yakini na subira. 🎙️ Mzungumzaji SHEIKH JAMALUDIN OSMAN 🔸 Follow Islamic Rihla kwa mawaidha mafupi yatakayokuimarisha katika imani na kukukumbusha mema kila siku. 🟣 Follow | Share | Save Islamic Rihla — Safari ya Imani #IslamicRihla #SafariYaImani #Dua #KumuombaAllah #Mawaidha 🟠 FOLLOW US