tareh 22 mwez wa 9 nilikuwa na week 35 na siku moja kwa mujibu wa u trasound lakin mpak sasa nahs dalili chache san kam kushikwe kwenye nyonga na mikazo ya tumbo pia kutokwa na ute mwepes yaan kam wa kutereza sielewi jamn????
2026-10-22 06:35:17
1
Jackline Maige :
Week40 na siku5 no labor sign 🥲
2026-10-20 11:30:24
1
@ vivianN32 :
37 weeks
2026-10-20 10:29:05
1
zai 😍 :
tareh moja mwez wa 10 nilikuwa na wiki 31+3 ad kufika leo sjh inawik ngp
2026-10-21 09:28:58
1
Mrs james :
tar 6 mwezi wa 10 nlikuwa na wiki 29 sasa sjui zimefika ngap
2026-10-21 07:34:53
1
Grace mutola :
mmi 24 na anacheza zaidi
2026-10-20 18:28:20
1
glory gody :
nipo week ya 35 na hizo dalili zote ninazo nifanyeje
2026-10-20 19:31:38
1
ukhty sommy :
mi tareh 13 mwez wakum nilikua Na wik ya 38 Sina dalil izo Ata moj tumb kukaz tu namaumiv pemben ya mapaj usik sipat usingiz
2026-10-21 14:27:41
1
Aisha la boss 😎 :
mm wiki38 mtot amepungua kuchez ila ultrasound imeonyesh yuk sw mapig yk yk sw pia ute wa jeli unatok mdog mdog sijuw nende hospital ao bd😳
2026-10-20 11:18:40
1
am doreen :
mm Nina wiki36 na siku4 Nina dalili zote kasoro kutoka maji ya uzazi na huo Ute, sasa Sijui ni uchungu au ni nn
2026-10-21 01:23:19
1
maman chanice :
Suite
2026-10-20 10:30:23
2
vughengekanyere :
n'a mimi nakaribiya kujifungua n'a baki n'a Siku moja nijifunguwe lakini Sione Dalili yeyote
2026-10-21 07:09:22
1
mama boys 🥰 :
37 weeks
2026-10-20 10:05:02
2
Habbty :
wk 28
2026-10-20 19:21:18
1
madam petite :
nina ujauzito wa wiki 36 napata dalili hizi ispokua stoki maji wala damu
2026-10-20 10:05:51
1
🎀Mrs ashy 🎀 :
Jaman mimi nipo wiki ya 39 lkn sion huo ute kama wa rangi ya kahawia wala wenye michirizi ya dam me wang mweupe
2026-10-20 18:40:57
1
irankunda chadia :
suite
2026-10-20 09:20:09
1
mama mamumi :
wik39 na siku5
2026-10-20 10:18:29
2
salha :
tare24 mwez wa9 nilikuw nina wiki31 mpak sasa sijui ina wikingap na mwez mingap
2026-10-21 06:56:51
1
GraceMwakyoma 💕💕 :
ntajuaje kama mtoto amegeuka
2026-10-21 18:48:51
1
laymbengari :
mh wiki 33 t lkn natokw na dam
2026-10-20 17:17:09
0
smile :
37 week mikazo tu na nyonga upande mmoja inakiwa inauma
2026-10-20 16:02:46
0
user1211340159762 :
Wiki 35 tumbo lina kaza na kuachia na sehemu za siri zinavuta cjui nn shda
2026-10-20 15:47:47
0
Cristina Urassa :
wiki 37 na siku 3 tumbo limeshashuka nimeambiwa mtoto anauzito mkubwa kilo 3 na gram 800 maana nachoka sana nimeambiwa nifanyiwe opreshen. haraka nisubiri uchungu
2026-10-20 12:19:27
0
To see more videos from user @brightherbs.tz, please go to the Tikwm
homepage.