@kings_computers_: Kwanini uteseke na ulambe uchafu wakati sisi tunasuluhisho wale wa maofisini, wafanyabiashara,bank na mawakala usitumie muda mwingi kuhesabu hela au kumsubirisha mteja umuhesabie hela wakati kuna mashine kwa ajili ya kuhesabua na bei zake sas ni kuanzia 300,000 mpaka 2,000,000 wahini kabla hazijaisha #billcounter #billcountermachine #moneycounter