@lilyanapika: Wewe umeona vitu gani hapo?

Lilyanapika
Lilyanapika
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 20 October 2026 09:07:44 GMT
21179
484
42
46

Music

Download

Comments

momrishma1
mom rishy😘 :
vilivyoonekana ni 1.Maziwa ya maji 2. Maziwa ya unga 3.sukari nyeupe hivi ndio vilivyoonekana ila wakati unachanganya hiyo michanganyo mingine hakuna , kwa ufahamu wangu baada ya kutia sukari hapo ukatia 1.cornflour 2. ukaja changanya na cmc then ukachanganya kwenye hiyo mixer na vanila na fleva zingine kwa hiyo ice cream yako
2026-10-21 06:07:53
7
narasah14
Manobe Farm :
naombeni kujua wapi ntapata sukari nyeupe
2026-10-21 06:18:02
1
loycegina
Loyce Gina :
Maziwa ya maji,maziwa ya unga,Sukari nyeupe brenda ,hand mixer ,mwiko wa kuchotea ice cream, container,biscuits.
2026-10-20 10:14:00
6
consolata.wamaith
theblessed One :
kwani mum hautumi condensed milk kw ice cream zako
2026-10-21 09:27:18
0
khadija.salim532
khadija salim :
Maziwa ya maji maziwa ya unga sukari nyeupe na mchele
2026-10-22 12:12:20
0
lavishmum
lavishmum :
maziwa ya maji, maziwa ya Unga, sukari, conflax, blender, handmixer
2026-10-25 12:24:03
1
cherryprincess71
🍒 🍒 cherry 🍒🍒 :
cone flower
2026-10-20 11:04:15
1
esniper8
E* :
1.Maziwa fresh. 2.Maziwa ya unga 3.sukari nyeupe 4.
2026-10-20 11:18:54
0
user7442206909482
jichodawa :
maziwa maji maziwa unga sukari nyeupe, blenda stand mixer spatula. vingime siri yetu sisi wanafunzi wako,kw ufaham zaidi lipia Darasa l icecream lily anapika ukajue mengi
2026-10-20 14:15:00
0
fatma.kahambu
Fatma Kahambu :
maziwa ya maji maziwa ya unga na sukari
2026-10-20 09:59:39
1
chief16050
Chief azg :
sukari , cmc, maji, maziwa, rangi, laza,...
2026-10-21 13:10:17
1
king_th31
th_king31 :
maziwa ya maji, maziwa ya unga na skari
2026-10-20 20:06:15
1
umuommy
umuOmmy :
sukari,maziwa ya unga na maziwa ili kutengeza condensed alafu ukablend kisha uka whisky whipping cream
2026-10-21 15:00:40
0
simple_ladys03
Simple _lady 🌸 :
maziwa ya maji sukari waiping cream
2026-10-20 20:36:57
0
gloryrichard180
twiny :
dada sahan mtu akitoka mkoan anaweza ukamwelekeza na akalipia
2026-10-21 13:27:07
0
mozauhuru
Moza Uhuru :
maziwa ya unga maziwa ya maji, sukar na ice cream stabilizer high fat
2026-10-24 08:25:48
0
qutelynne4
Qute🍒Lynne :
maziwa ya maji maziwa ya unga sukari
2026-10-20 09:19:47
0
consolata.wamaith
theblessed One :
corn flour inasaidia nini kwa ice cream
2026-10-21 09:27:41
0
nashuu002
nashuu heena :
9
2026-10-20 12:28:16
0
usher_juma
finea cake mtwara :
tupe recepe
2026-10-20 11:15:45
0
rehemamajura
remmy :
Maziwa ya ngombe ,maziwa ya UNGA na sukari😋😋
2026-10-27 03:59:00
0
consolata.wamaith
theblessed One :
maziwa maji,maziwa ya unga,sukari ukaweka kwa blender,alafu kuatimia mixer,
2026-10-21 09:26:54
0
fatmamaulid33
faah💞💞💞 :
maziwa ya kawaida alaf ukatia maziwa ya Unga then sukari
2026-10-25 20:26:33
0
afritamtam_mbeya
Afri tam tam :
kina kitu Iko kwenye sukari mi naiona kabisaaaa
2026-10-20 11:16:10
3
fatmabakar0
fatmabakar0 :
tumesahau na mikono😅
2026-10-20 10:33:42
0
To see more videos from user @lilyanapika, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About