@ccmzanzibar: NDUGU: ABDI AAHIDI KUSIMAMIA HAKI NA STAHIKI ZA WASANII ZANZIBAR Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Ndugu. Abdi Mahamoud Abdi, amewapongeza wasanii wa Zanzibar kwa moyo wao wa kujitolea na mchango wao mkubwa katika kulitumikia Taifa na kuyatetea maslahi ya Zanzibar. Ndugu. Abdi ameyasema hayo katika kikao maalumu kilichowakutanisha wasanii wa fani mbalimbali Zanzibar, kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui, Zanzibar. Amesema wasanii wamekuwa wakifanya kazi kubwa katika jamii na kuahidi kusimamia kikamilifu haki na maslahi yao. #fypppppppppppppppシ゚viral #kazinaututunasongambele2025 #fypppppppppppppp #ccmtannzania #FYP #fypシ #kazinaututunasongambele🔰🔰🔰🔰🔰🔰 #kazinaututunasongambele #fypシ゚viral #ccmtanzania🔰🔰🔰 #FYPP #CCM #fyp #ccmtanzania

CCM Zanzibar
CCM Zanzibar
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 20 October 2026 09:23:32 GMT
2087
82
4
4

Music

Download

Comments

young.bob81
Young bob :
safi sana
2026-10-20 13:45:53
0
muzne255
muzne ali :
mkombozi wa vijana
2026-10-20 10:16:07
0
rashid.zanzibar.to
Rashid zanzibar tour :
porojo tu
2026-10-20 13:06:20
0
masadali859
Masad ali🥰 :
🔥🔥🔥
2026-10-20 10:15:26
0
To see more videos from user @ccmzanzibar, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About