😂Saiv kurud nyumban mapemaaaaa kabla ya Giza watu watakuwa wanatafuta marejesho Yao
2026-10-20 12:16:43
28
luckykipens :
tulio kuwepo kweny msafala tujuane
2026-10-20 18:00:36
1
munna :
wambie waje na tunduma tumemiss hizo moments
2026-10-20 11:53:56
15
maraja👊 :
nipo nakuja mbeya
2026-10-20 17:55:46
1
TOBE-ELECTRONICS :
FFU wanauwezo wakuzuia hao madogo ndani ya nusu saa.
kupisha Mitihan ya 4m4.
maendeleo yanakujaga na changamoto
2026-10-20 12:46:25
19
bi zakia :
Nimewakubali sana mbeya
2026-10-20 17:51:52
1
𝓑𝓾𝓻𝓲𝓵𝓸 𝓙𝓻 :
kwan kuna nn
2026-10-20 17:41:11
1
Ibrah msimbazi :
hakuna mali ya mtu wanaharibu wala kuiba💪💪 wao wameamua kuyafikisha malalamiko yao kwa staili hii na ndo maana hakuna madhara yoyote yaliyowakuta hata askari walipofika eneo la tukio, big up sana vijana💪💪💪
2026-10-20 18:11:51
1
rama b20 :
next
2026-10-20 17:00:17
1
Silent Blade.. :
wanatuita wenyewe maskini wa Mungu
2026-10-20 17:26:15
1
Renoo 89🧚🏼♀️💦🍎💸 :
Waende Tu kwa mkuu wa mkoa officn kwake 😂😂😂
2026-10-20 09:48:55
14
zacone Grant :
lini iyoooo jamaniii
2026-10-20 14:37:33
1
𝕿𝖒𝖒𝖆𝖆𝖘𝖔𝖓 :
Au mbeya ninchi nyingine🤣✌️✌️✌️✌️
2026-10-20 15:31:05
3
Tash G😍😍 :
Duuh
2026-10-20 14:24:04
1
Mwalimu Mkuu01 :
Nashindwa kuvumilia uku daa nakuja mbeya Kesho🔥🔥
2026-10-20 14:33:45
2
kulanga :
hapa kuna mambo haya ✌️
2026-10-20 12:20:30
3
꧁༺sandra tweve➳༻꧂ :
Mkoa wangu 😹😹😹😹
2026-10-20 16:31:29
2
young kibrah :
agaa
2026-10-20 15:42:19
1
💫MRS.CREED👌💘 :
nashindw kuelew
2026-10-20 13:18:59
1
DIVER 👑 :
Il mbey
2026-10-20 13:15:11
1
To see more videos from user @b0ss_danny, please go to the Tikwm
homepage.