@daudilugusitz: nitapost hapa muendelezo wa somo hili ili upate kubarikiwa#tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #trending #gospelvideos #viral

DREAMSTAR TV
DREAMSTAR TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 20 October 2026 09:51:58 GMT
47566
2456
205
341

Music

Download

Comments

elijah_mhinaman
elijah_mhinaman :
azazel unamjua?
2026-10-20 19:29:35
1
nduwinsegxj
nduwinsegxj :
Unaweza kutupa ushuhuda wako tukasikiliza please
2026-10-20 10:34:20
1
gwilakidinilo245
gwilakidinilo245 :
Lucipher na shetani wana utofaut gan???
2026-10-20 10:40:08
7
john.kajumuro
Johnson Kajumuro :
ni wapi ktk biblia inaonesha kati ya utofaut wa lucifer na shetani
2026-10-20 12:17:22
8
hasmir_ghxstlxrd
ʏꜱʟ ʜᴀꜱᴍɪʀ ᴛɪᴇʀɴᴇʏ :
kumbe shetani ni mbunge tu... 😂
2026-10-27 18:38:35
1
1wynlee
Dr. Lee Wyn :
Mmh! Jamani Mtumishi Wa Mungu! Kweli Kuzimu ni Ulimwengu Uliopo Chini.....ya Dunia? ......Hebu nisaidie Ushahidi wa Kimaandiko ama Mifano inayothibitisha Usemayo.
2026-10-20 19:25:54
5
autadidacter
autodidacter ✍️ :
wazirii mkuu maarufu kuliko makamu wa raisi
2026-10-20 14:14:32
4
samsonmwakipesil4
Samson Mwakipesile :
Lucifer ni Malaika kabla hajaasi, aliwakisha mbeba mwanga, au nyota ya asubuhi, jina Shetani ni mpingaji muasi, Malaika aliyeasi ambaye ndio huyo huyo Lucifer baada ya kuasi aliitwa Shetani, kumbe kazi zake za uovu ndizo zilizombadilisha jina na kuitwa Shetani
2026-10-20 14:35:00
5
kevinmasero3
kevin masero :
swali mfano lusifa ni raisi ,Belizebuli ni makamo wa raisi na shetani ndiye wazili mkuu.sasa kwa nini yesu alimnyanganya funguo za kuzimu na kumfungia shetani na akawaacha wakuu wake.
2026-10-20 18:55:20
2
youngprezdarog
young prezdar :
ha2na nguvu ya kupambana na hao viumbe zaid bwana YESU atupambanie
2026-10-21 16:58:53
5
alexthomas16651
Alex Thomas :
nipe Hilo fungu kibiblia linapatikana wapi linalofafanua kuhusu huo mgawanyiko huo.
2026-10-21 05:09:10
0
wanjiqgkxaa
Njeri🇰🇪 :
in the book of Enoch,study
2026-10-20 18:35:57
1
yoel.fabian71
MINISTER -YOEL FABIAN :
WE HAPANA SHETANI NDO LUCIFER KABLA YA KUASI NDO ALIITWA LUCIFER MAANA ALIKUWA MALAIKA WA SIFA
2026-10-20 11:19:49
3
mwl_michaelsindi
Mwl Michael sindi :
kaka nikufundishe jambo moja pigana vita kulingana na kiwango chako cha kiroho huwezi kuanza kupigana na mkuu wa majeshi wakatuli hawa migambo hujawaangusha
2026-10-20 17:25:40
1
gloriarenald
JACKIE A NICHOLAUS :
nataka niwajue kupitia maandiko
2026-10-20 12:34:54
0
edsonevodius810
edsonevodius810 :
neno la mungu linasema "Mjue sana mungu" kumjua shetani ili itusaidie Nini?
2026-10-21 07:44:30
0
nicksonbetter1988
Nicksonbetter1988 :
imeandikwa wapi tukasome usitupeleke mbio hizo ni nafasi tu usituchanganye
2026-10-20 19:00:02
1
makoloka666
Mtukufu_Makoloka :
KWANI Shetani Maana yake ni cheo???? 👁️👃 👁️
2026-10-22 06:56:53
0
user7348103675905
Michael mussa :
kutishana tu ilahii nchi sawa
2026-10-20 18:59:15
2
theo.junior01
Theo Junior :
shetan shetan tu kaka lusifa ni jina tu kama sisi binadamu tulivyo kuna juma kuna aisha,rebeka,aizak n.k,ila sote ni binadamu so usiwachanganye watu et wa tatu anaitwa shetani kwaiyo lusifa ni nan sasa,lusifa ndo top of devils empire na hao wengine ni watumishi wake na kila mmoja na majukumu yake
2026-10-20 16:13:18
2
bellamukabatera
john :
next plz
2026-10-21 06:14:42
1
cobil.master
Cobil Master :
Nawaitaji hao wapo wapi? Nipe connection
2026-11-01 23:27:47
1
benjamindottomaku
benjamindottomakungu :
Ikiwa ndyo mara yetu yakwanza hapa duniani nyie hayo yote mmejuaje??
2026-10-21 06:36:37
1
clare.nabwire2
clarelucy :
sisi bora tukemee nguvu za giza si kazi yetu kuwataja
2026-10-22 09:30:04
2
baraka.m.s
baraka.m.s :
kila andiko lenye pumzi ya Mungu lafaa kwa mafundisho. ayo mafundisho wewe umeyatoa kitabu gani kaka
2026-10-20 16:31:22
1
To see more videos from user @daudilugusitz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About