@besties_electronics: Kuna feni zinazopuliza upande mmoja... *Na kuna feni zinazohakikisha kila kona ya chumba inapata upepo* 🌬️ PACOALL Fan yenye mzunguko wa 360° imeundwa kusambaza hewa kwa pande zote, hivyo kila mtu ndani ya chumba anapata faraja anayostahili. *Price 115,000/=* TSH ✅ Inazunguka 360° ✅ Remote Control kwa matumizi rahisi ✅ Motor imara na yenye nguvu ✅ Upepo unasambaa kila upande ✅ Muundo wa kudumu na wa kuaminika *Usinunue feni kwa sababu tu inawaka* Nunua feni inayofanya kazi ipasavyo✅ #fypシ #fyp #reels