huo ni mchongo wa ccm dadae utasikia Samia kasema wacheni wafanya kazi ili ajisafishe
2026-10-20 15:32:50
9
Maalifa Mbange :
msaada KATIBA
2026-10-20 12:36:45
11
flola mwilongo :
mmmmmh nchii hiii 😳😳😳
2026-10-20 12:58:31
2
Eliudym mjegwa :
mama nimependa japo inauma aaa
2026-10-20 12:54:18
6
Agnes Kimaro :
mitano tena? ???
2026-10-20 13:40:16
1
ENG Juma :
Nchi gani iyo 😂🤣😅
2026-10-20 20:14:33
1
waziriitambu :
nyie simnajifanya hamipendi serikali ndio tunawaonesha serikali ni nn
2026-10-20 18:25:49
0
Imelda Sylvester :
October si mlitikiii??????
2026-10-20 18:35:51
0
whizzyboy@rizzy1 :
mbeya haijaamua uwoo ndomkoa wawatu wenye hasira na maamuzi
2026-10-21 06:49:12
1
lency🔐❤️🦋 :
All in all huyuu mama kaongea uhalisiaa wa maisha yalivyo wapambanajii wa haliii ya chiniii wanapitiaaa wakatiii mgumuuu sanaaaaaa sanaaa familiaaa zinapitia magumu watoto shule wanakwama loon MUNGU ikumbuke Tz MUNGU ikumbuke mbeya🙏🙏🙏
2026-10-20 19:03:02
5
Rebeca Sanga :
weka ulipoelekezwa wateja tutawafata maana ni mnachouza ni mahitaji ya kila siku
2026-10-21 08:16:38
0
vasa darchy :
KWELI MAMA SAMIA INGILIA KATI TUNAKUOMBA MAMA YETU KIPENZI
2026-10-20 18:22:18
1
dickson chaz :
mitano tena
2026-10-20 12:14:07
4
Noel Kaaya :
safi sana ccm mpaka tuongee lungha moja
2026-10-20 17:25:55
1
shaday64 :
polen dadangu
2026-10-20 15:54:24
1
linusi :
mulisemawanawakemunaweza
2026-10-20 16:03:21
1
SAM :
serikali sijuwi kama inawaelewa kama mnapata shida.
2026-10-20 14:47:27
1
To see more videos from user @mbarikiwasalometeam, please go to the Tikwm
homepage.