@stuadventist: Huduma ya uimbaji si jukwaa la kushindana, kujionyesha wala kuthibitisha nani ana sauti nzuri zaidi. Sisi sote tumeitwa kutumia vipawa vyetu kumtukuza Mungu na kuwafikisha watu karibu naye. Tunapoimba, lengo letu lisiwe kupata sifa za wanadamu, bali kuinua jina la Yesu Kristo. #MamboYoteMapya #tumainilinaanziahapa

STU ADVENTIST
STU ADVENTIST
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 20 October 2026 10:29:01 GMT
5831
333
9
18

Music

Download

Comments

jonasinspire7
Jonas Inspire :
Ujumbe wa malaika wa 3 huu🙏
2026-10-20 13:45:39
1
tabitha______
tabitha_______ :
hakika
2026-10-20 12:26:03
1
mom.kae85
mom kae :
nihuzuniii huzui ibada niyamasengenyo mivutanoo hd ibada inakosa mvutoo
2026-10-20 11:52:37
1
julielameck
juliacharlse :
kabisaaaa
2026-10-20 11:52:56
0
downthecrosssingerstz
Down the Cross Singers :
Amen
2026-10-20 12:48:46
0
mom.kae85
mom kae :
oooh I wish pr ujee humu kanisani kwetu ujionee na utusaidiee
2026-10-20 11:51:43
1
ck.mash
Ck Mash :
washerati wazinzi wakubwa 😢😢
2026-10-20 13:55:32
1
gwilakidinilo245
gwilakidinilo245 :
Hivi haya mashindano yakiwa yanaendelea uongozi wa kanisa unakuwaga wapi???? hii ni dalili kwamba hata wachungaji kuwa wamefeli kulichunga kundi
2026-10-20 11:57:33
0
caroline.kahena
Caroline Kahena :
🙏🙏🙏
2026-10-20 10:44:57
0
To see more videos from user @stuadventist, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About