maagizo ya kutunza sabato sio ya wasabato tu bili ni ya wanadamu wote
2026-10-24 08:17:32
4
Dachigospel :
Mungu akuangazie nuru utoke uko gizani mpendwa daah by (sda)
2026-10-22 19:32:26
3
WAMBINGUNI 7 :
ubarikiwe kamanda
2026-10-24 15:33:55
2
user2395410975420 :
upo gizani sana omba sana Mungu akusaidie
2026-10-24 15:46:41
1
Mazima54 :
Utakuwa umelewa mzee wangu.
2026-10-24 03:12:29
1
Kweli_itakuweka_huru :
ndugu amri ya nne ya Mungu ni kuitunza sabato ya siku ya 7 na kanisa pekee linalo tii amri iyo ni sabato
2026-10-24 01:34:02
0
Lupama :
hoja yako ni nini, maana hata sielewi
2026-10-24 09:08:53
0
Paul dalal :
Mungu akusaidie maana na wewe ni mwana wa Abraham
2026-10-24 09:57:55
0
Joseph Kasala :
Sabato aliyoshika Yesu Luka 4:16 na ya Ellen G. white ipi ilianza
2026-10-20 10:47:27
0
mimi :
kumbe Yesu alisema yeye ni Bwana wa sabato.
2026-10-22 20:14:24
0
Meli :
Kweli mwalimu: Kuna mtu anayemtahiri mwanaye siku ya 8 kama torati inavyoagiza?
2026-10-22 12:20:44
0
Willy James Mwasumbi :
kama kuna watu waongo ni pamoja nawewe
2026-10-24 11:52:27
1
FEILY :
wanafundishana hitikadi kama vile Mbingu ni ya kwao et
2026-10-24 18:58:52
0
paschal Paul kimaro :
soma mwanza 2:1
soma kutoka 20:8
soma ezekiel20:2
soma Luka 4:16
sabato ilikuepo tangu mwanzo MUNGU
aliumba kwa siku sita mwanzo 1 Hadi mwisho
2026-10-24 04:47:06
1
Joseph Mjomba :
kwa hiyo sabato ya Mussa na ya ellen ipi ilianza?
2026-10-23 19:54:00
1
Nicephonne Boniface :
𝐡𝐚𝐤𝐮𝐧𝐚 𝐡𝐚𝐣𝐚 𝐲𝐚 𝐤𝐮𝐤𝐮𝐟𝐨𝐥𝐨 𝐭𝐞𝐧𝐚
2026-10-24 17:25:51
0
Dachigospel :
biblia ni kitabu kizuri sana chenye uwokov, lakini endapo ukisoma kwa kutafuta makosa au ukosoaji hakika utapotea kamwe na wala isionekane.
2026-10-22 19:38:12
1
Dachigospel :
Na yesu hajatuagiza tunyosheane vidole bali tufundishane kweli tena kwa upendo na unyenyekevu ili wote tuokolewe, Mungu akusaidie by (SDA)
2026-10-22 19:45:06
1
Mrharoun87 :
Kwa hiyo lanisa sahihi ni lipi?
2026-10-24 04:10:43
0
Peace Prince :
Nakusalimu ndugu yangu katika jina la BWANA wetu YESU KRISTO. Nakusihi jifunze mambo ya kiroho kwa kulisoma NENO(BIBLIA) kwa maombi na upatanifu kwa ROHO MTAKATIFU ili uwekwe huru dhidi ya dhambi na wewe uwe mjumbe wa kuwaleta wengine kwa YESU kama tulivyoagizwa katika injili, Mathayo 28:19-20
2026-10-24 21:20:06
0
Echado Mbilinge :
hujui
2026-10-24 22:18:31
0
It's..Hanga Julius💥💥 :
soma mathayo 5:17 utaelewa kama Yesu alikuja kufanya nini duniani
2026-10-24 21:35:04
0
Peace Prince :
Ndugu, umenukuu Luka 13:10-14 Naomba unijibu, kati ya YESU aliyemponya mwanamke aliyekuwa na pepo wa udhaifu na mkuu wa sinagogi nani alikuwa mkuu wa Sabato??? na katika Luka 13:15-17 wanafiki wanaotajwa hapa ni mafarisayo au washika Sabato???
2026-10-24 22:22:48
0
Peace Prince :
Baada tu ya uumbaji (Soma Mwanzo 2:1-3) Mwanadamu(Adamu) na mwenzi wake (Hawa) wanaitwa kushiriki Ibada pamoja na MUNGU katika bustani ya Edeni. Hivyo Sabato haijaanzishwa na Ellen G. White wala Mwanadamu awaye yote. Mwasisi wa Sabato ni MUNGU mwenyewe.
2026-10-24 21:29:58
0
To see more videos from user @josephyobegwa, please go to the Tikwm
homepage.