@muniracoastalfood_cakes: Kimbia kwa YouTube channel yangu kama hujaelewa hapa, Mkate wa sinia sponge #muniracoastalfood #cookingclass #mombasatiktokers
muniracoastalfood&Inspiration
Region: KE
Tuesday 20 October 2026 10:37:59 GMT
Music
Download
Comments
Farzana Bhaloo :
Thanks for sharing the recipe
2026-10-20 17:00:52
0
Mrs_qwe :
Umetumiya Mchele gani
2026-10-20 11:17:24
3
. :
mbna umefunga downloadsssssss😩😩
2026-10-20 12:58:52
0
Mariam mathenge Mathenge :
aaa sawa kama hutaki
2026-10-20 13:30:52
1
NAMU :
niche nisave nikitaka kupika niangalie
2026-10-20 14:55:25
2
@con woman :
acha nijaribu nimeroweka pishori kilo moja Niko na nazi 2 kubwa ngoja tuone matokeo😂
2026-10-20 12:24:11
2
cutesikaa :
Aloniinisha siwez kupik mkate wa sinia kwenye oven kujaaa hapa upes 😂😂😂 mashallah mashallah
2026-10-20 16:49:33
0
tabby ❤️ 😍 :
mnaouliza uliacha ukafura mliangalia video mpaka mwisho kweli😁
2026-10-20 16:26:10
0
sabra_cakes,bites&snackes. :
siyagi inasaidiya nn nahitaji kujuwa
2026-10-20 11:28:07
1
Elham Hafsah :
kuumuka ni how long please time ni 180 for how long please
2026-10-20 12:54:24
0
Fedhellah Hamoud Riyamy :
shukran dear kwa mafunzo ya mkate wa sinia
2026-10-20 16:41:03
0
Datuuuu1990 :
pambe mashaallah
2026-10-20 13:13:42
1
mimi :
Allahumma bareek habbty
2026-10-20 12:52:25
0
Zainab juma :
hamira huwek sijasikia vzur 🤔
2026-10-20 13:42:48
0
sherry :
mi napka lkn hauwi sponj Kama wako sijui nakosea wapi ila mtu mwingine akinipikia unatoka sponj kabisaaa
2026-10-20 16:48:08
0
Nady_cakes :
huweki hamira
2026-10-20 12:51:16
0
@con woman :
huweki mayai?
2026-10-20 12:21:48
0
Mariam mathenge Mathenge :
Sasa mbn ufunge video tutajifunza v0
2026-10-20 13:01:18
0
🦋khalluh🫰🏾 :
je Kam huna Brenda unaweza kusaga mchele machineni ungaa ukautumia kuandaa mkate wa sinia
2026-10-20 14:47:18
0
@ beloved💞💞💞💞💞 :
mashaallaah
2026-10-20 13:07:42
1
mune :
mashaallah tabaraka rahman shukran habibty ♥️♥️
2026-10-20 12:17:01
0
user1142466202746 :
kpz mashallah huu mkate huwa naupendaga ila mm hauwi sjui nakosea wapi🥰🥰
2026-10-20 12:12:45
0
GGM :
mashallah
2026-10-20 12:43:22
1
Mankiya_001🎀 :
mimi hizo grams zanitatiza ungetueleza kwa cups au kwa kipimo flani
2026-10-20 12:57:44
0
CUTE NAZLIN🥰 :
uliacha ukafura ama ukimaliza kublend wachoma2
2026-10-20 12:45:43
0
To see more videos from user @muniracoastalfood_cakes, please go to the Tikwm
homepage.