@michaelsamwel26: ENDELEENI KUMUOMBEA NDUGU YENU MIMI SINA MDA NAJIOMBEA MWENYE NIWE NA MWISHO MWEMA. #innovacolorgaragetop #creatorsearchinsights #onthisday #Michaeltz #Boazdanken
hapana jmn tumuombee sana tena sana tusichoke mungu atatushangaa sana tena sana🙏🙏🙏🙏🙏
2026-10-20 20:45:07
6
Christopher15 Jonasi :
amina 🙏🙏🥀 I 😂😍
2026-10-21 13:32:11
1
santrinapaskali :
jamn niwakumbushe kitu ukifatilia Biblia inatofautisha vitu viwili navyo ni hivi kuna watu unaandika mungu na wengine Mungu au MUNGU nimefatilia sana jamn kuandika mungu kwa helufi ndogo ni miungu sio Mungu unayemtaja wewe Mungu kama Mungu inaandikwa Mungu au MUNGU jameni tusime biblia pia tunakosea bila kujua nimefatilia nikagundua hilo nilikuwa kwenye group moja la maombi na kujifunza neno la Mungu nilikuwa nikiona mtu akiandika mungu mchungji wa group hilo anakataa kwa kila mtu anaandika hivo hata hivo niksoma Biblia nikaja kungua hilo
2026-10-21 13:09:33
9
febby :
Yaaan siamin kwakwel nawaza sijui ni ai au ni kweli ,eeeh mwenyez Mungu tupe mwisho mwema