@judge_roy: Agano la ndoa.Baada ya kijana wenu wa kiume kuoa hivi ndivyo munatakiww kumlinda dhidi ya mke mdaliti mangaa

judge_ roy
judge_ roy
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 20 October 2026 11:21:37 GMT
8207
582
28
34

Music

Download

Comments

najtara
Naj🌸Tara💦🩷👣 :
jamn yote y nn😳
2026-10-20 12:20:01
0
kipanga_16
kipanga16_onair :
duuuuuu issue ishakuwa deep
2026-10-20 11:38:43
1
lucy625400
lucy♡✨🧿♉️ :
Hii nitafanya kwa mwanangu Mungu akinijalia kidume😆🤭
2026-10-21 05:53:04
0
nancymo09
❤️ Zara zuri 🇬🇧 ❤️ :
😂😂😂😂 na mwanaume je kwanini sisi tu jamani
2026-10-20 13:31:45
1
hildamghamba245
hildamghamba245 ♒️ :
kwann mwanaume na yeye asiapishwe msinichambe ninamimba[Tears of joy]
2026-10-20 20:41:55
0
yes_ahmed360
𝙰𝚑𝚖𝚎𝚍👑 :
Wewe ni Muhenga uko na Maarifa sana. Be Blessed
2026-10-20 11:31:43
6
adamramadhani215
adamramadhani215 :
hahaha haha haha haha umetisha sanaa mzee
2026-10-21 03:13:30
0
elisha707
E ngomele :
imeisha hiyo
2026-10-20 20:41:51
0
mc.makinita
Mc Makinita (Mic squizer) :
asante kwakuanza na moshi mkuu
2026-10-20 20:31:44
0
lilyhygiene360
Lilybarbie💞 :
khaaa Kwann haipo na io Kwa wanaume maan tungezka weng San🙌🙌🙌🙌🙌
2026-10-20 15:21:38
2
happy.jackson65
Happy Jackson :
mmmh mbona kazi asipotembea nani atamsaidia maana itakuwa changamoto kwa mtu wake wa karibu.
2026-10-20 20:42:57
0
uncle.kp4
UNCLE KP :
Mkuu napendasana ushauliwako mungu akulinde
2026-10-20 15:15:42
1
miss.heryn
Miss heryn💕 :
Tukifanya hivyo kwa wanaume hapo kuna mambo ✌️
2026-10-20 14:31:52
0
jacklinenyahotto
iam_jacques :
Vipi kwa mwanaume aliyoko na tabia Kama hizo
2026-10-20 17:02:55
0
johnanatomy.of.car
John:Anatomy of car electrical :
Aaa!,judge nakosa comment👍
2026-10-20 15:05:21
0
veronicamong0
Mongo### :
kwa wanaume je kiongozi??
2026-10-20 14:58:04
2
epafrafransic
Epafra Fransic :
hii mbon ni kiboko
2026-10-20 16:49:05
2
azizi_ki_backup
Azizi Ki Backup :
becusi ilibekuliwa
2026-10-20 21:09:30
0
ghostforex12
GHOST FX📈 :
Hapo vip kama mwanaume akichepuka, linampata na yeye?
2026-10-21 02:37:48
0
magrth84
Magrth💋💄 :
😂😂😂nimecheka kama masiala
2026-10-21 05:41:58
0
yustinmkisi
kitorori :
hapo kwa wanyiha✌️✌️✌️✌️✌️✌️
2026-10-20 11:34:32
0
deekeh23
deekeh :
nifundishe kunyamaza.
2026-10-21 04:44:05
0
amney84
Amney%🌹 :
vipi kama mwanaume ata muuwa bint au kumsaliti?
2026-10-20 17:02:26
0
zaina.nassoro4
Zaina Nassoro :
🙏♥️😂
2026-10-20 18:19:51
0
situ5079
situ :
🥰🥰🥰
2026-10-20 12:10:09
0
To see more videos from user @judge_roy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About