@ufufuonauzimakinondoni: Imani inamfanya mtu aishi kwenye yale mtu anayo yaamini, Imani kwa kadri inavyopungua inakufa kwenye mambo hayo!. Yakobo 2:26 [26]Maana kama vile mwili pasipo roho umekufa, vivyo hivyo na imani pasipo matendo imekufa. #GodIsTheBestProvider #KikaoChaFamilia