nimechelewa sana kuwafahamu aiseee. sijui nilianzaje kutoka kisota naenda kusali makuburi anyway next time nikiwa dar ntajitahid nije kuwasikia live. soprano mwenyez mungu awatunze sana mnajua sanaaaaaaa. kwa ufupi nyie ni bora sanaaaa
2026-10-21 04:35:44
2
Doreen Willbard :
amiiina🥰🥰🥰
2026-10-20 20:15:17
2
PendoPriscar :
Kitu inaitwa utulivu🥰🥰🥰
2026-10-20 16:47:03
3
Teddy Alfredy Music Official :
Hii kwaya naweza Imba na nisichoke, kwaya ya kisasa kabisa
2026-10-20 18:14:09
5
Baddy 💕💝 :
🥰🥰jamn mtoto T kawa mkubwa akiiwakilisha vyema AGK😁
2026-10-21 06:43:27
1
lizzy :
NAMISS HIVI VITU
2026-10-21 09:28:41
0
user722424117870 :
Safi Sana teee
2026-10-20 13:58:38
2
Paterine Anna :
❤️❤️❤️Kwa Binti mdogo..
2026-10-20 13:51:06
2
modest.king4 :
Safi sana
2026-10-20 14:13:48
2
Grace Edward :
amen
2026-10-20 19:39:07
2
Salome Emmanuel :
jilala simuon
2026-10-21 10:52:18
0
nergrace@6 :
sauti za makerubi na maserafu 🥰🥰🥰🥰
2026-10-21 09:44:12
0
Ratifa Jeradi :
huu wimbo na upenda lakn kudownlod nashindwa mwenyewe nao basi naomba 🙆🙆🙆
2026-10-20 20:18:43
1
Donald,Ngomawakimataifa :
Jamaniii mmemuona huyo mtoto mbeleee🥰🥰🥰🔥🔥🔥
2026-10-21 17:09:32
1
SERILO Maish🙏 :
drumist 🔥🔥🔥🔥🔥 anifundishe walai👏🔥
2026-10-21 13:41:29
1
edwinibenjamini :
turuhusuni tuweze kudownload basi kheee
2026-10-22 05:47:17
0
Blu_shazam💪😎🤑😉 :
hii Misa inaitwa aje
2026-10-21 18:58:57
1
@19dani 88@@ :
nikimuona Jaclin kazimoto napata amni
2026-10-21 04:06:38
2
To see more videos from user @agk_kigamboni, please go to the Tikwm
homepage.