@canah.boe: Shukurani zangu za dhati zije kwenu mashabiki zangu wote ambao hamjachoka kunisapoti kwa kipindi chote ambacho nilikua kimya bila kuachia ngoma yeyote asanteni sana nimepokea malalamiko mengi sana juu ya ngoma hii kwa jinsi ilivyopokelewaga kwa ukubwa sana hapa tanzania lakini official song yenyewe haikuwai kutoka mbaka leo. mimi niseme tu muda wa MUNGU ndo muda sahihi na hili wiki kabla halijaisha naenda kuwapa zawadi mashabiki zangu wote ya wimbo wenu pendwa nilioubatiza jina la mwasumbi asante#canahboe#dearmama#canahboefans

Canah_Boe
Canah_Boe
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 20 October 2026 13:09:15 GMT
108645
11701
248
131

Music

Download

Comments

shadrack5555
DJ🇹🇿LISO🇹🇿5555 :
hongera sana
2026-10-20 18:48:09
1
rahmaabdala537
Rahma Abdala :
kwel ww danger 👌👌👌🔥🔥🔥
2026-10-20 17:06:12
2
2310adamu
Adamu juma kagoma :
canah boy 🫡🫡🫡🫡
2026-10-20 20:29:37
1
aminarashidi21
evode by :
noma[Big LOL]
2026-10-20 16:45:27
0
lam_mokide47
lam_@Bandidu🇹🇿 :
live mwanangu san
2026-10-20 18:23:10
1
denisalango
denisalango :
ooooh waoh
2026-10-20 15:03:22
2
zaddyboyxvi
Zaddy Kipeto :
uli toa nyimbo iyi??
2026-10-20 19:05:52
1
rahimhusler205
ہوسلئر لئے :
niyamda now ni mkubwa uyu jomba ila katishaaaa😊😊😊
2026-10-20 15:01:06
27
daisy.lonely.006
daisy lonely 006 :
Daaaah
2026-10-20 18:55:09
1
sulabaya18
sulabaya18 :
hii ngo inaitwaje kila siku nafatilia
2026-10-20 15:28:23
17
westboy03
westi boy 🖤😜 :
apo kuna jambo ilo ☝️
2026-10-20 20:04:09
1
kizo.jr6
༺❀ 𝑩𝒓𝒐𝒌𝒆𝒏 𝑯𝒆𝒂𝒓𝒕 ༺❀༻ :
goma linihitwaje
2026-10-20 14:52:48
9
mpolokhan
Mpolo Jr :
dg unajua 🤣🤣🤣
2026-10-20 19:11:54
1
stevenjoseph3603
Six Dc :
Dog umetixh
2026-10-20 14:49:01
5
fimbo05
Dr.Fimbo :
make sure unautoa wimbo huu
2026-10-20 14:47:59
7
mbuzizyaa
Bigfoot :
Utakuwa umeua kinoma sana apo👊💪🔥
2026-10-20 14:11:13
6
userhancepaul
Hance paul.🧲🛠🏁 :
nakubal sanaa Canaa ngoma kali sanaa
2026-10-20 14:12:26
5
gaudencesimon839
Gaudence jr :
huu wimbo unatoa furaha isiyo elezeka xabab uliimba kwautulivu wahali yajuu nahisia kal
2026-10-20 14:13:12
8
user76816626066685
frans huy aaaaaa!mh :
dog unajua
2026-10-20 15:31:42
5
shadrack5555
DJ🇹🇿LISO🇹🇿5555 :
jina la ngoma linaitwaje
2026-10-20 18:48:27
1
user29382413717116
shadboy :
wap tuungane tuachie magoma ert
2026-10-20 20:37:19
1
user3071847504867
Ćlăššîć_šůp :
fanya kweli janja tumesubir kitambo
2026-10-20 18:53:02
2
maganza.word.wide
maganza word wide 🌎 :
We noma 🔥🔥🔥
2026-10-20 17:05:34
1
ibrax898
IBRAX THE YOUNG LEGENDARY :
aya kaza
2026-10-20 18:18:00
1
agnesssaid0
agnesssaid78 :
nakupenda bure mdog angu
2026-10-20 19:14:47
1
To see more videos from user @canah.boe, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About