Amen n Amen.I tap this blessing of healing in Jesus name
2026-10-23 04:22:25
0
user5865958186495 :
Jesus Jesus Jesus Jesus Nimechooka
2026-10-24 10:10:06
0
kesh..... mahappy👻🤜🤜 :
nina pressure but i trust God in everything i will not die pressure but uzee in jesus mighty name
2026-10-23 10:29:36
0
peter_malifedha :
mimi nimegundulika kuwa na hypertension nikiwa na miaka 24 nimeomba mpaka nimechoka na sijui hii imetokana na nini Yesu nisaidie bado nakuamini ,sitaki kufa na ugonjwa wa pressure wala nini ila nife kwa ugonjwa wa kuzeeka
2026-10-20 17:36:35
92
alijah :
Mimi nilikipata nikiwa na miaka 26 ila nilikuja kupona 2025 siku ya kushiriki meza ya Bwana
2026-10-20 17:37:23
76
Mtumishi Narasa :
OMG 😳 Kila Mtumishii Ana history ndefu basii[Innocent][Innocent]
2026-10-23 06:41:05
0
Betty :
i got this disease nikiwa form 6 jmn 😭😭😭 sukari inatesaaa aiiiih sijuagi mpaka leo namna Mungu aliniponya maana niliisha kama kaskeleton🙌🙌lkn Yesu anaponya alinirejeshea na afya yng
2026-10-20 19:11:59
63
jackilin sadik :
mimi namushukur mungi siumwe i lakin jana nimemwambia mungi nimechaka kubeba mimba zinaalibika au najifungia mtotk anakufa watoto watano mapacja mala mbili wote wanakufa weee mungu wangu nimechoka na hii ali kiukweli nakuomba mungu wangubnione na mimi
2026-10-20 18:42:52
30
tumaini103 :
Mungu nilivyouzunguka mlima huu vyatosha 🙌🏼
2026-10-20 16:35:45
19
Delephenery Yusuph :
waoooo yesu ni mzuri
2026-10-20 14:56:30
14
fish :
kwa maombi haya namuomba mungu amponye binti yangu kwa jina la yesu
2026-10-21 03:38:39
15
APOSTLE FRANK ZEPHANIA :
Dah nimekosa hata chakuandika ila Yesu yupo😭😭
2026-10-21 11:05:39
13
Debrecioun✝️ :
Najiungamanisha na hii Imani 🙌🏻🙌🏻
2026-10-20 18:18:27
17
Godmecy :
Yesu ni mzuri.
Mimi nimepona PUD na acid reflux. baada ya kuteseka kwa miaka mingi.
Niliomba Mungu ikafika hatua nikaona huu ugonjwa ni sehemu ya maisha yangu.
Usiku wa kuingia October nilimuona Mungu sasa hivi nimepona, nakula kila kitu.
NB;Wapendwa hakuna jambo la kumshinda Yesu.
2026-10-21 12:03:17
9
sophy :
nipata paralalisis nilikua n miaka 14 nikiwa kidato Cha kwanza sikuelewa Ile hali na hata watu wangu WA karibu walishindwa kuielewa Ile hali, Madactari pia 🥲 sikuwa najua hata kusali nilipitia kipindi kigumu hakuna aliejua zaid yangu Mimi ila sikuwah kukata tamaaa yaan hadi sasa sielw hapa nilipo n nguvu za Mungu nashindwa kuelezea ukuu wake hakuna kama yeye 🙏🙏🙏 THANKS GOD🙏
2026-10-21 07:38:32
5
maman nanaa :
mungu nimechoka Nami ninamiaka ya kumi nasukar na Sasa moyo umepanuka maisha ni dawa tu mungu nimechoka nponye na mimi mungu
2026-10-21 06:07:58
7
Humphrey_FXS :
amen man of God I remember ulikujaga pale Dihas Dodoma chuoni tuliomba pamoja na wanafunzi mwaka wetu mungu alitusaidia wengi tunakaz sahizi be blessed man of God
2026-10-20 21:12:19
6
la bien heureuse :
Mtumishi mimi nina shida ya ku zaa sina mtoto mwaka 7 na nusu sasa nime choka na mimi Mungu an sema basi neno nzuri azia fika mpaka ivi
2026-10-21 07:28:48
6
user2850635518256 :
ushuhuda huu umenipandisha kiwango Cha Iman kuanzia sasa
2026-10-20 15:26:52
8
MAGHA OUTFITS👗👔👚👜👠 :
hakika Mungu amekufanya uwe USHUHUDA Kwa wengine waliojitakia tamaa baba akutunze tu 🥹🙌
2026-10-20 14:48:25
8
Atu❤️store :
MUNGU amekupa ushuhuda. UTUKUFU TUNARUDISHA KWAKO BABA
2026-10-20 16:06:11
10
Mrs AM🫅 :
Hakuna linaloshindikana kwa MUNGU, kikubwa ni IMANI, muamini kwenye kila jambo wala usimuwekee mipaka
2026-10-20 17:04:31
5
neemajacob33 :
naomba pia anisadie mimi pia aniponye
2026-10-21 02:51:23
1
La reine 🌺 :
Haleluaaaa,Jehovah Rapha asifiwe🙌🙌🙌
2026-10-21 01:27:02
1
To see more videos from user @apostle_msechu, please go to the Tikwm
homepage.