@nyemboelectronic: #phone

NYEMBO ELECTRONIC
NYEMBO ELECTRONIC
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 20 October 2026 14:58:08 GMT
93162
1361
26
76

Music

Download

Comments

tikokcomsherry1
sherry cute :
please
2026-10-20 19:54:01
0
kadosticjr
kadosticjr8 :
Wengine hatuna hizo simu kaka🤣🤣🤣
2026-10-20 16:25:28
2
davidpaulo618
BVB 09 :
kutokana na simu unayotumia
2026-10-20 16:19:15
1
gloriane6970
Gee 💞 :
mbona kwenye normal sms maandishi hayabadiliki?
2026-10-20 15:24:07
3
shabaniramadhanir
shebe madobe :
yangu inadai vitu kibao
2026-10-20 19:11:05
1
mbonde.junior
Mbonde junior :
Usiache kusema kuwa ni kwa wenye Samsung tu vinginevyo unatuchanganya sie wenye itel 😂
2026-10-20 19:46:51
0
user4378838005702
baby carren 💕♥️ :
5/5 vipenzi
2026-10-20 19:03:51
0
user5270154268328
Farida :
Daaar kweli asant ubarikiwe sana kwa elim yako
2026-10-20 19:09:13
0
oscar.mazimba
Oscar Mazimba :
Kaka kama whatsapp ina goma kufunguka ina kuwaje
2026-10-20 17:52:08
0
mkaliman31
KOA_LYRICS🎶 :
me natumia Tecno vp inawezekana[Starstruck][Starstruck]
2026-10-20 18:42:44
0
farhan.mom2
mom farhan💙 :
yangu inakataa
2026-10-20 15:03:47
1
stansreus
kibela_25🇪🇸 :
kweny sms za kawaida ndo kipengere
2026-10-20 16:47:39
0
ummu7211
ummu 🤍 :
kaka nilikuwa naomba unaonyesha namna ya kurudisha meseji ulio futa wsp
2026-10-20 18:36:43
0
officiallyam79
@official Lyiam❣️ :
ninataka kwa messages z kawaida
2026-10-20 17:39:55
0
aisha.yusuph8608
Aisha Yusuph :
Kaka mbona yangu Haina hiyo list na nnataman
2026-10-20 19:04:22
0
jumbo.bakary
Bœ pëśçúś ëmpířë :
kaka tuwekee efootball la offline kwenye chanel kk
2026-10-20 15:47:06
0
brand.ai56
Brand Ai :
kaka yangu imekubal ila kweny meseji babo upo mwannko wa zaman n
2026-10-20 15:24:28
1
tikokcomsherry1
sherry cute :
samahn kaka mbn kwenye sms za kawaida aikubali please nisaidi
2026-10-20 19:53:55
0
cutebhorah02
🌹Cute🍎Bhorah👀 :
inaniletea ivo
2026-10-20 16:20:32
0
user404522498414
A'm faah🦋🍬 :
nyie mnahangaika kucomment huyo hua hajibu ata siku moja😂
2026-10-20 16:19:15
0
mrs786247619520
mrs mbunge🧸👑 :
mbn mi kwang inagom jmn
2026-10-20 16:13:38
0
user2150642384
Maestro :
Kaka ukitaka kudownlod video za tiktok bila ya ile logo ya tiktok kuonekana kwenye video unafnayaje
2026-10-20 16:08:30
0
daudi.mbonea
Daudi mbonea :
yangu inakataa
2026-10-20 16:56:36
0
user7834351681736
user7834351681736 :
😳😳😳
2026-10-20 19:07:29
0
To see more videos from user @nyemboelectronic, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About