@lilymediaa: je ni sahihi mke kukopa bila kumpa taarifa mmewake? #lilymedia #yangasc #viral

lilymedia
lilymedia
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 20 October 2026 15:01:40 GMT
182525
8059
553
763

Music

Download

Comments

amani.amani.151428
Amani amani 1514282830597 :
mmmmmhhhhhh.....mm nshaandikiwa murder kesi
2026-10-21 11:27:13
0
limbumanjale
LIMBU MANJALE :
behind the scenes...😁😁😁
2026-10-21 08:45:36
0
nicolamapunda8
nicola mapunda :
daaah ila sisi wanawake shda
2026-10-21 08:25:27
0
user3421040049352
mama zaidani :
weee me sisubut
2026-10-21 10:18:57
0
firdaussamso
firdaussamso :
Mikopo kwangu shindwa pepo kabisa🤣🤣
2026-10-21 09:34:56
11
dizzle_bodyguard
dizzle bodyguard :
Ila hizi content 😂😂😂
2026-10-21 08:35:11
0
jacob.mabula1
@Official Jacob :
Ningekua mimi awachukui chochote lbd wamchukue aliekopa apo sawa ila vitu vyangu hapana
2026-10-20 16:51:39
187
abedinho93
Dinho7293@ :
Ndo ninachopitia mm hapa kwa mke wangu
2026-10-21 05:16:21
22
nahhumble4
nah56 :
mama angu aone hii video labda ata achana na brac 🥺🥺🥺
2026-10-20 17:32:42
28
zabibusimba044
ZABIBU SIMBA ❤️ :
jaman ndio mana tunauliwa jaman kijana wawatu anaumia ivi😳
2026-10-21 06:05:52
18
edinasimon521
Edina Simon :
aweeee wa
2026-10-20 17:05:00
0
shabanramadhan215
Shaban Ramadhan :
mm hamtoi kitu Tena hamtoi
2026-10-20 23:09:38
7
mr.s.clark
Mr’s Clark :
Ndoa tunayo hatuna ??😂
2026-10-20 17:11:02
16
swaumsaid7
Savage queen 👑🖤💫 :
Wanawake ridhiken na Hali za waume zenu wanapambana huko nje achaneni na mikopo jaman baba wa watu analia anahangaika kariakoo wewe unaenda kukopa sijui kudhamini wenzio why 🥺🥺
2026-10-20 18:29:47
19
mariam.issa353
Mariam Issa :
yupo jirani yetu alikopa akaonesha nyumba na hati kawakabidhi mumewe alikua mfanya biashara siku wanakuja kuchukua nyumba yule dada kakimbia na watoto yule baba alilia mpaka basi wakaichukua nyumba wakauza yule baba sijui ana hali gani mana alikua anakunywa pombe kupunguza mawazo mpaka analala njiani watu walikua wanajilia mpaka mavi yanamtoka sa sijui sasaiv anahali gani mzima au vipi 😢
2026-10-21 06:59:37
6
userasha1231
asha :
msamehe kaka Kuna mchang wa deni la taifaa kwhy ndy alikuwa anataka atoe advance 🤣🤣
2026-10-20 15:35:38
35
shufaa.gumbo
Shufaa Gumbo :
mi hua najiuliza Kwan hua hawashirikishw waume zao wakati wanatoa mkopo kwann hua inakua kama siri
2026-10-20 16:30:27
22
maryrose80533
maryrose :
jamni huy mwanamke kwanini akope bila kukuambia kaka musamee tuu
2026-10-20 16:35:44
9
karimuadoph
kãrimu adøph :
Labda sio mm walahi vitu amubebi
2026-10-20 16:47:37
7
grace.karata0
Grace Karata :
Wanawake sisi😳😳😳😳😳😳
2026-10-20 16:20:33
5
ladybrenda14
Brenda💞 :
Huyo mke ni mm
2026-10-20 16:18:50
6
neyseeh7
neyseeh🫶🫶🫶 :
ila wanaweke
2026-10-21 04:30:32
3
mwaisa.obedy
mwaisa obedy :
mm nimekopaaa namuombaaqa mungu anisaidieee nilipe maana milionii sy kitu kdg
2026-10-21 09:51:05
1
asiaabbasi35
bint abbasi🥰🥰 :
illa sisi wanawake
2026-10-21 05:13:05
0
fau.official1
@fau official :
Mama taliki hpo anamambo hyo ✌️
2026-10-21 03:35:58
3
To see more videos from user @lilymediaa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About