@enny24772: ANTIFONIA YA KUINGIA DOMINIKA YA 30 YA MWAKA A WA KANISA. Ufurahi moyo wao wamtafutao Bwana, Mtakeni Bwana na nguvu zake, utafuteni uso wake siku zote. #🥰📖📖📖📖🥰🥰🥰🥰🥰 #🥰📖📖📖📖🥰🥰🥰🥰🥰 #tanzania #Church girl#ticktok . Niwatakiee Maandalizi mema ya Tafakari ya Week nzima🙏❤️ na MUNGU AWABARIKII SAANA SAANA. Amina🙏❤️❤️❤️