kaka sio kesi ya kwanza mimi nishaibiwa kama ivyo miaka 4 iyopita walifanya kama ivyo
2026-10-20 19:42:53
1
petro Lazaro :
hao watu wa mtandao wanajua ukweli maana sisi tunajua namba 100 tu ndo inatumika kwa namna hiyo
2026-10-20 19:51:39
1
rashiphordy :
jaman kwan selikali c kuna watu wa selikali ma IT awawez kufatilia mbone mengine wanaweza kwann inafikia hatua mtu anajiwekea pcha mpaka ya laisi mpaka viongoz wakubwa inaonekana kama niwao ndo wanatoa mikopo kumbe niwez na nyie selikali munachekelea tu inakuwaje hapo
2026-10-20 20:19:27
0
:
huyo anamfahamu huyo binti na ana acsess na simu yake. kwahiyo akasave namba yake kwenye simu ya huyo binti kwa namba ya boss wake kama jina
2026-10-20 16:24:15
1
Rashian :
angalia vzur, hiyo namba uwenda kunanamba ya simu ya kawaida arafu namba yako imetumika kama jina la mtu, yaan namba arafu jina ni namba pia ambayo ndo hiyo yako
2026-10-20 20:21:33
0
Eddy Yusuf :
hyo case nimekutana nayo kweny daladala leo kuna dada mmoja alikuwa analalamika kuw kuna watu wake wanatumiwa ujumbe wa kuombwa pesa kwa kutumia namba yake ambayo anayo yeye na anaitumia .ila yeye amewahisia wale waliomsajilia ile line ndy wanaofanya utapeli huo.
kiukwel kuna mtandao mmoja ambao ulinzi wake hauridhishi na mtu anaweza kuibiw kwa urahisi sana kupitia mtandao huo.
2026-10-20 21:40:00
0
Manka Mbowe :
pole Sana Kaka hao ni wenyewe
2026-10-20 20:56:23
0
safiaothman788 :
kwa nini huyo hakukupigia simu kwanza?
2026-10-20 20:14:47
0
janenya :
kwa hiyo ukipata msg ya kutuma hela jaribu kumpiga sim hiyo bosi kwanza
2026-10-20 20:12:07
0
Hawa Ngondo :
asante kaka
2026-10-20 19:49:31
0
Black-48 :
Pole,
tunashukuru kwa kutujuza
2026-10-20 19:34:52
0
Irshad Uhuru :
hiyo mbona niutapeli wa zamani sana broo
2026-10-20 19:39:26
0
rayh :
Watu wa Mtandao ni Wanafiki sana wanavojifanya Kushangaa huo Wizi. Wao ndiyo wanaofanya huo Wizi wakishirikiana na Meneja wao.
2026-10-20 19:37:59
0
user4340715916135 :
asant kwa tarifa kaka
2026-10-20 19:38:43
0
J Msumi JM :
wao wanajua kufungia sim za mkopo tyu ikipita ata sekunde inafungwa lkn kweny kuzibit wizi hawawez ata mm nishapigwa sitaki ata kuadisia
2026-10-20 18:00:18
0
nicprecious :
hii dunia mimi napigiwa na tapering anasema hadi kiasi kilichoko kwenye cm jamani
2026-10-20 18:48:52
2
jaco :
Kuna mtu ame hack simu yako na anweza kutuma sms na kujibu sms akiwa mbali na simu yako
2026-10-20 20:06:35
0
prodact :
wao wenyewe wezi
2026-10-20 20:29:24
0
To see more videos from user @raisimsanuaji, please go to the Tikwm
homepage.