@its_schollah: Wenzangu huwa mnawezaje kuongea na simu kwa utulivu na watoto wakiwepo😅😅😅 #caption #reallife #viral #africanmothersbelike #tiktoktanzania🇹🇿

its_schollah🌺
its_schollah🌺
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 20 October 2026 16:07:43 GMT
52376
1612
274
213

Music

Download

Comments

mamyyusfat4
Mamy yusfat :
me nnammoj kazii ndo hiii tu mpakaa nakatiwaa simuu[Big LOL][Big LOL][Big LOL][Big LOL]
2026-10-21 04:34:13
0
user1865787166381
skoyo Naomi :
huyu ni mim kbs[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-21 08:37:56
0
renahteshapatrick
Renah tesha Patrick :
mimi uyo kabisa na mwanangu wa kwanza[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-21 07:46:08
0
_dorie30
_dorie30 :
nitakupasua for me plz😂😂
2026-10-21 10:18:22
0
asiabashiru
Umm Ahmed♥️🕊 :
[Tears of joy][Tears of joy]najionaaa🙌
2026-10-21 13:33:55
0
leahmwella
Leahmwella :
😂😂😂uyu mimi kabisaa jamani siwezi kuongea na cm bila kusumbuliwa na nikijifungia chumbani wanakuja kujigongea
2026-10-21 11:59:01
0
besttest02
Fine girl cakes 🎂💞 :
huyu wangu kila anaepiga sim anasema huyo baba huyo, ukianza kuongea anataka aongee nae hata kama hajui unaongea na nan😁
2026-10-21 10:43:24
36
mrs.abel96
Mrs abel💞🥰 :
Yaan hyo ni mm kabsa😂😂
2026-10-21 10:18:36
5
sophygili3
Sophy :
Mm nina wawili ila naongea mpaka basi na wakiwa mbali nawamis 😂😂
2026-10-21 11:55:24
11
sallymolla4
Ma Mkali♥️🦁 :
Huyu ni mm kabsaa wangu akishaonaa naongea na simu ndio anaanzaa kuombaa vitu mara nataka ndege mara bunduki maraa gar jamn😂😂😂😂
2026-10-21 09:14:04
14
fifi.720
Fifi❤️ :
😂😂Kuna huyu wangu ukisema halo na yy anadandia
2026-10-21 07:59:04
9
user78810298220157
user78810298220157 :
Sasa mbona unamsema dada yangu hama[Red heart]
2026-10-21 07:21:19
1
naywasam
nay wa Sam :
m jicho moja wanaelewa signal
2026-10-21 16:23:50
0
cenovi.umeme
Handa super Cenovi :
mm wa kwangu ni wambea hawajui ni nani wanakuambia nataka nimsalimie na mm ,au utasikia mama huyu kanipigia usiombe umesema Niko kazin kumbe upo nyumbn Kuna mmoja TU kiherehere
2026-10-21 10:29:57
0
mamaleon2002
mama leon :
😂😂😂😂 jamn nmecheka
2026-10-21 08:31:10
0
oggy.peace
Oggy peace :
😂😂😂 Yani huyo Mimi kabisaaa
2026-10-21 08:48:19
0
swaumu.bwilo
Swaumu Bwilo :
😄😄😄 Ni mm uyo
2026-10-21 07:48:45
0
specaa8
specaa :
😂😂😂 huyu ni mm kbs
2026-10-21 08:38:13
0
winniendoss11
winniendoss11 :
uyu Mimi uyuu😅😅😅
2026-10-21 06:16:14
0
user1185661608719
babylight :
n mm hyu🤣🤣
2026-10-21 10:55:52
0
lucycollection41
Lucy colletion :
😅😅😅mbn ni mm huu
2026-10-21 07:33:45
0
damarydamary131
mary :
huyo mimi kabisa kwa wadogo zangu
2026-10-21 08:35:00
0
user4956272804915
user4956272804915 :
mbona kama ni mim jaman 😂😂
2026-10-21 07:43:50
0
doriemmanuel6
Doriemmanuel :
Mm huyooo 😆😆😆
2026-10-21 07:38:05
1
neenah.oficcial
Neenah oficcial :
mm Nina Moja ila ss nikiongea na cm tu mbna kaz nnayo
2026-10-21 08:39:57
0
To see more videos from user @its_schollah, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About