@joelnanauka: #MtokoWaUsiku & Kibenje Episode 05: Safari Ya Kwanza Kwenda China Na Uzoefu Alioupata #MtokoWaUsiku #PunguzaItifakiTukutaneSite #VijanaTuyajengeTanzaniaNiYetu.

Joel Nanauka
Joel Nanauka
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 24 October 2026 14:00:00 GMT
48088
2323
68
115

Music

Download

Comments

user6106614431481
user6106614431481 :
waziri mbona anafatilia watu waliofanikiwa kuliko wanaojitafuta Kuna shida hapo
2026-10-24 19:22:07
7
mgaya139
Mgaya :
kwaio kk kelveni. unamanisha maisha ni watu🙏🏾🙏🏾
2026-10-24 17:05:49
15
safari.best.store
SAFARI BEST STORE :
kanuni ni hile hile wakuu 1. mungu kwanza 2. juhudi au mapambano na focus 3. muemdelezo 4. heshima na uaminifu kwa watu 5. pesa zipo kila sehemu wakuu Kumbuka Hata TAKATAKA Ni Fursa Ishu unavoziangalia tu
2026-10-24 21:16:07
8
tusajigwemwamalil
tusajigwemwamalil :
Mimi niliagiza vitu China Novemba 2025 hadi leo sijapata ila namuona niliyemuagiza anaendelea na biashara zingine za pikipiki,bajaji na magari huku wengi hatujapokea vitu vyetu.Sijui tutajuaje walio waaminifu.
2026-10-26 05:23:03
2
akazilema
khayz A1 :
jina la account la huyu kijana tafadhar
2026-10-26 12:45:54
0
jd_printing_solutions
Jd_printing_solutions :
hapa Waziri umetusaidia, ninatamani kuagiza machine but sikuwa nawaamini Hawa washikaji, kwa sasa naomba nimwamini
2026-10-25 10:00:29
1
isaaczephaniah301
isaaczephania :
akiwa anaongea hivo utajua life ni simple Sana ingia jaribu ndo utajua hujui
2026-10-25 05:59:44
2
piensia.desdery
Piensia Desdery :
Samahani Naomba namba ya huyu kijana Mheshimiwa kama
2026-10-29 07:47:32
5
afyawarrren
DR.WARRREN :
muheshimiwa nakuomba mtu anapokuwa anaelezea kitu muache amalize halafu ndio unauliza swali,samahan lakin kwa kukumbusha hilo maana najua unalifaham ila utakuwa umesahau 🙏
2026-10-26 05:31:04
2
muba290
Mbarak Bakar :
tutampataje huyo jamaa na sisi atuongoze
2026-10-25 05:33:52
2
user95937099533752
userCHANDE :
NAMI pia naitaji niagize bizaa zangu china zasiap nipate namba yako tajili
2026-10-25 14:29:50
3
ericmtalemwa_
Eric Mtalemwa :
📌..Akawaambia mfano, ya kwamba imewapasa kumwomba Mungu sikuzote, wala wasikate tamaa. (Luka 18:1)🔥🤍
2026-10-24 14:24:58
3
sadatichitanda
sadati chitanda :
kaka joel huyu jamaa anatusaidiaje mimi nipo lindi Nachingwea
2026-10-26 03:45:05
2
frankmandevu58
@frankmandevu :
waziri una akili kubwa sana wachache tunakuelewa malengo yako hasa kwa tunaotamani kujifunza 🙏🙏🙏
2026-11-04 21:56:31
1
veronicanalinga
Veronica Nalinga :
wazili Mimi ni singo madha ni MTU ninaejitegemea Kila kitu nimezulumiwa sana katika biashala ningekua mbali sana uaminifu ni mchache naomba niunganishe. NAE uyo kaka nianze upya ninaomba aniambie na bei ya usafilishaji
2026-11-05 14:39:21
1
prophet.ibrahim.so
PROPHET IBRAHIM SOKOINE :
Akili ni mtaji
2026-10-27 05:52:46
1
joshuatluway
Joshua :
vp kuhusu mtu wa kumwagiza
2026-10-30 22:22:44
1
martinemollel
Martine Mollel :
Huyu jamaa nampataje jmn
2026-10-27 07:10:20
1
lugemtatanishi0
lugemtatanishi :
na mimi nataka mkopo naipataje naomba mnisaidie nipite njia gani au niende wapi?
2026-10-28 04:35:12
1
mbaramwezi1
mbaramwezi_tz :
darasa la saba ni mwanga wa watu kwenye eneo frani, mtwara Mpya.
2026-10-25 17:43:12
1
user3350310462467
Chicho :
Sasa mkuu tunampataje uyu jamaa?
2026-10-27 07:09:28
1
hassansheha12
@dr HASSAN :
nanaunuke njoo nikufundishe
2026-10-26 04:22:21
1
raphael.kadoda
Raphael Kadoda :
mm nataka mashene ya mkunyowa nywele kwart
2026-10-27 05:54:44
1
simon.ngayanemo
Simon Ngayanemo :
mh waziri tunaomba connection ya uaguzaji wa vitu china na tupate uhakika wa kutokupoteza mtaji
2026-10-26 07:08:36
1
ibrahimuweza
Ibrahim Uweza :
naitaji vioo vya plastik
2026-10-25 19:01:26
1
To see more videos from user @joelnanauka, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About