@arusha..icon:

Arusha. studum 🏟️
Arusha. studum 🏟️
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 20 October 2026 17:03:09 GMT
57025
3465
73
22

Music

Download

Comments

thinkbeforeyou_do
who am i :
So kwa ajili ya wasukuma
2026-11-06 17:49:53
8
francismgallah2
Francis Mgallah :
huku hatukimbiag riadh bhna wakenya ndo wanafaaa kuwa na izo mambo za riadhaaa ona pitch iko mbali hata hufeel kutizama ball,amn uwanja wake uko pow sana pale zanzibar yaan bongo sijuw shida nn
2026-11-11 15:06:05
1
mallys291
Mally's :
huu uwanja tafuteni mwekezaji aweke barabara za formular 1
2026-11-04 13:47:51
16
chris_jersey
@CHRISS_SPORTS :
kuliko kwenda kuangalia mpira kwenye huo uwanja bora uangalie mpira kwenye kibandaumiza kwa sababu kibanda umiza kinaafadhali
2026-10-30 18:04:43
0
hijah.athumani.ka
Hijah Athumani Kambi :
hizo sehemu za kukimbilia bora wangeongeza jukwaaa
2026-10-30 13:34:20
6
demasterman2
Middle66 :
yan hili dimba lingekua halina hizo sehem za riadha hlf jukwaa lingeongezwa lingine kdg hv oya hata ule wa Kenya mngeuona mbaya lkn dah 🥺
2026-11-04 16:58:15
2
cnglemaster255
cngle☣master🇹🇿 :
tumepigwa
2026-11-06 07:24:11
3
ahmedally877
UBAAH :
uwo umbali Bora utazame kwenye TV tu
2026-11-06 13:01:35
2
mickomilano
Last kaizer :
emb ona pitch ilivyombali duhh
2026-11-11 06:05:19
2
burrassay
Matt O'Brien :
uwanja mbaya , hakuna ladha ya live football hapo
2026-10-29 11:23:46
2
esamoffical
Esam Offical :
tushukur ata kidogo tulichopata
2026-11-01 18:46:23
1
benk.mgalama
Promecias :
yaan uwanja kwanini waweke liadha
2026-11-03 13:00:47
1
rude_37
rude_37 :
Hio mi running truck ya nn sasa yani mtu upo huku uwanja upo kule
2026-11-09 15:39:49
1
michael.s.m26
Michael S.m :
Hayoo ma 🏃 runing truck ni yanni jamn kwan hamuon viwanja vya njee au ndioo caf waagizaa hvyooo😂😂
2026-11-06 08:32:44
0
jadoka_store
JADOKA 🦅 :
kwenye pich kuna mtu cheki anavyo onekana sababu ya pich kuwa mbali
2026-10-21 10:00:39
0
user9019419036126
Haby :
Uwanja mzuri Sana
2026-10-21 05:54:17
1
alecksjems
Alecks Jems🇹🇿 :
sio siri wanja mbaya
2026-11-11 15:28:45
0
ambroseaniseth
Dreaming 123 :
uwanja nimtamu sema ilo lieneo lililo haki ebaba naomba wakina elinino waje walileiloeneo wajenge sehemu zakuka watutena
2026-10-21 11:20:04
1
exploreisland_withabdull
Explore Zanzibar🏝️ :
Ni Billioni Ngap Vile ?
2026-11-21 16:32:49
0
66theblues
66theblues. :
Hapo tumepigwa Hamna uwanja.,Loh
2026-11-09 22:37:26
0
_mpacher_
🇺🇸 mpacher :
studum 😂😂😂
2026-11-14 08:45:03
0
user7454167851926
😁😁Mob😁😁 :
[Tears of joy] kamaa wa lihadhaa vilee.
2026-11-19 20:51:39
0
reggy9892
reggy :
pich ipo mbali san duh
2026-11-11 18:04:30
0
mussaothmanmkoma1234
T. H.E. Black :
watu wanafiki jaman
2026-11-17 17:19:09
0
muhidiniabdulrazaq7
muhidiniabdulrazaq7 :
pa kali
2026-10-21 13:12:19
0
To see more videos from user @arusha..icon, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About