@jm_media6: Nyie inauma sana 🙌🙌 #wedding #ariseandshinetanzania❤️❤️❤️❤️🦋binnah #foryoupage❤️❤️ #creatorsearchinsights2024 #creatorsearchinsights

JM MEDIA
JM MEDIA
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 20 October 2026 17:09:19 GMT
232666
9456
282
364

Music

Download

Comments

totoyasadru
totoyasadru :
dada uzuri umejipatia mtu wa kuwa unamtuma dukani
2026-10-20 19:08:16
215
kupendeza_products
kupendeza_products :
Mimi zawadi za hivi zinanikwaza Sijui Kwanini
2026-10-20 19:54:58
70
luna.a097
♌️ :
Mume wangu mtarajiwa usijenivalia hvi jamani 🥹🥹utanikosesha raha
2026-10-20 21:33:15
58
ukhtynadia8
UkhtyNadia❤️ :
Is she correctly Jmn???
2026-10-21 11:44:32
0
hancesenya1
Hance Senya :
2026-10-22 03:21:22
1
2014dori
Odo Ester :
yoooh amelia kutoka moyoni 😢
2026-10-20 19:14:58
59
allengregory1
Allen Gregory :
Dada kwa nini hujamvalisha soks shemeji yetu
2026-10-21 06:54:30
23
neemamvungi1
Neema Mvungi :
Mimi naona hizi picha wasizilete siku za furaha hua inamletea mtu majonzi makubwa na ni siku inatakiwa iwe ya furaha
2026-10-20 19:47:59
59
happie8084
Happy🌸 :
Sasa kuna maana gan kumtia mwenzako huzun kwenye sku yake ya fraha
2026-10-20 19:44:37
26
prissymwaijande
prissymwaijande :
Siyo sawa kutiana uchungu wakati wa sherehe
2026-10-20 18:09:26
34
user1923837255229
user1923837255229 :
halafu picha ya merehemu cyo zawad cku ya furaha,waliofiwa wanaelewa
2026-10-20 19:16:18
26
reencute14
REENE ❤️ :
Ivi me nitakuja kuliliwa kwel 😂😂
2026-10-21 13:53:12
1
officialedinah
💖 Edinah💞💞 :
mwenzenu analia kwafurqha jinsi gani mkewake mtarajiwa amemuonesha kujali hy picha ilikuwa ya muhimu sana kwa mwanaume na ndopekee aliokuwa nayo Thuswhy akaamua aiboreshe ameiheshimisha sana mm sijaona shida kwa bi harusi hamuoni hata bwana harusi alivyomkumbatia kwa furaha mwanamke wake 🥰🤗
2026-10-21 14:58:20
5
sweetrosetty0
Official rosetty❤️💜🍭🌎 :
BABA WAZURI WAPO SO KILA MTU ALIBUKI KAMA MAMA AKO JAMN 🥹🥹🥹🙌🙌✅ILOVE MY FATHER 🫂❤️
2026-10-21 05:17:41
6
agxovillah
Agxovillah :
Nkajua mnaanguka
2026-10-21 13:23:36
0
aemjojoh14
AemJojoh14 :
2026-10-21 13:59:59
0
mariammoha09
Mariam Moha :
nmejisikia vbaya
2026-10-21 06:42:45
5
pinky11793
pinky beauty point❤️💥 :
aiseee analia jaman 🥰
2026-10-21 14:31:48
0
datynovart
Diva@Mom P😘 :
mimi sion kam umefany jambo la mahana labda umemuarbia siku mwenzio na kumkumbusha mbali,🥺😢 mtansamhe kwa akili zang fupi
2026-10-21 07:00:17
5
honeybabe134
Honeybabe❣️💋 :
dada hali ikiwa ngumu..mtegeme Mwenyez Mungu, na umwambie afanye jambo..na sio picha ya marehemu ifanye kitu.hiyo sio sawa.
2026-10-21 05:35:49
10
user5193011100251
Esther collection :
Apo ni MUNGU baba kashaenda zake apo Kuna vitu hivi✌️
2026-10-21 12:47:55
0
mwajunfsfyc
mwajuma kondo :
pole sana kaka hadi nimelia
2026-10-21 09:59:33
3
suby_komwe
Suby komwe :
sasa mm nalia nn kweeee😭
2026-10-21 10:09:47
1
phina2304
Phina chrss :
Baba mkwe alikua anauza nyanya nzur sana zinafaaa kwa kachumbar kabisa apumzike kwa aman
2026-10-21 19:45:20
0
wandyv2
🦋precious :
Na watu wameona ni fashion saiv kuwaletea wenza wao picha za marehem
2026-10-21 10:58:44
1
To see more videos from user @jm_media6, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About