@tukujengee_jenganasi: 3Bedroom House 40M Budget Up to roofing Site: Moshono, Mapambazuko, Intel, Dodoma Book Now +255794293451 #jenganasi #ramani #ujenzi
Habari! Naweza kupata ghorofa kwenye kiwanja cha mita 5 kwa 5
2026-11-26 09:25:44
0
Sir Benjamin :
je unaweza kunitengeneza ramani ambayo itakua na muonekano huu nyumba ikiwa na mita 11kwa mita 8 na ikawa na vyumba 4 vyakulala lakini bajeti yake hadi kupaua garama isivuke 50ml
2026-11-22 11:54:52
0
Gibson1010 :
safii sanaaa hakika mambo ni fire
2026-10-21 05:10:18
1
Jackline stores :
Kwan mnaweza kujenga kwa madusko yaan nikipata hela kidogo mnakuja kujenga ikiisha mnaacha nikatafute tena hela🤣🤣🤣
2026-11-02 15:32:03
0
Vanoc_21🇹🇿🇨🇳 :
Na Mimi mtanijengea
2026-10-20 19:55:10
0
PANGANI LTD :
vp kaka
2026-10-20 18:24:48
0
Simon Kisaka :
saw kaka
2026-10-20 18:23:26
0
To see more videos from user @tukujengee_jenganasi, please go to the Tikwm
homepage.