Nataka nianzishe chama changu CHAMA CHA NEW GENERATION PAOLITICAL PARTY 🎈
2026-10-20 19:53:34
5
mnapi :
wata nzania tuamkeni tumezaliwa siku moja tutakufa sikumoja
2026-10-21 05:37:20
1
V75 :
Da! Mpaka tuje tufike kule hali itakuwa mbaya
2026-10-20 17:39:08
9
Alex Oxlend :
sasa swali langu ni hili kwani kuna nani zaidi ya mwananchi so ngoja tuone kila mtu amezaliwa siku moja na atakufa siku moja so tuko wote mitaani yangu macho
🥺🥺🥺 no no no Mungu wangu usiruhusu hili litokee jamani kwa LISSU inaumaa sana 😢 😞 🙏 😔
2026-10-20 17:37:35
5
edenison oscar :
mbona hatari
2026-10-20 17:54:09
1
Chikoko Wazir :
Ila wanaharakati wa chadema 😁
2026-10-21 06:29:52
0
user1435930029744 :
2tashinda na zaidi ya kushinda ✌️💪💯
2026-10-21 05:33:37
0
Suritha Hardware :
MOYO WANGU UNAVUJA DAMU
2026-10-21 05:12:32
0
Benson :
sis tunasubr hukumu
2026-10-21 05:03:06
0
GraceG :
Dada umeongea kwa utulivuu mkubwa ambaye hajaelewa na viongozi wa mkutano mkuu Kama hawajaelewa basi tutajitetea wenyewe na lisu wetu na hatuto ludi nyuma,lisu ni Mwenyekiti na heche ni makamu wake hivyo tu
2026-10-21 06:06:54
0
V75 :
Kwahiyo Mbowe anajiamulia mambo
2026-10-20 17:41:26
0
To see more videos from user @hildanewtonchadema, please go to the Tikwm
homepage.