hata kwa Mungu ubrazameni ruksa njooeni kwa Yesu fasheni za duniani zote marudio..
mtangaze Mungu wako siku za ujana wako kaka angu.
2026-10-24 11:30:09
36
yunimayaya4gmail.com0 :
mungu akubaliki sana
2026-10-27 18:27:45
0
JACQUES JOSEPH :
Mkaka mzuri hivi ana piga Injili ya Kristo na bado tunashupaza shingo?
Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu. usichoke piga kazi maana hii ndiyo kazi pekee iliyo na taji la uzima ♥️♥️