@batibora2: Replying to @careenmom10 Jenga na batibora #batibora2

BatiBora✅
BatiBora✅
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 20 October 2026 17:26:35 GMT
14045
340
112
28

Music

Download

Comments

sheyram71
Sheyram 😘 :
nikupe hio Hela ujenge hio nyumba broo
2026-10-21 03:27:14
0
hatiti.mohamed.mo
Hatiti Mohamed Mohamed :
huo ni mtihani , atakayefauru. atasema. atutafutie nyengine
2026-10-20 20:26:08
1
zaylisarashid
Zaylisa Rashid :
mda huo matofali kwangu au kweny hy hyo milion 7
2026-10-21 03:31:02
1
jk_111t
Lusajo Mtelan Mwakal :
niuzie kwa 12ml ili ukajenge nyingine kubwa zaidi ya hiyo uweke na swimming pool
2026-10-20 19:16:58
4
sylivesterndenje
star-sky :
hiyo Pesa ya ufundi
2026-10-21 08:32:32
0
boka2662
man of God :
yaaani apo ni material na kila kitu au maan cjaelewa apo na ukubwa waeneo ni ngapi kwa ngapi
2026-10-21 07:35:06
0
user8722342465915
Bint seiph :
nzuri lkn iyo bei camini
2026-10-21 08:09:29
0
rashidabdullah153
rashidabdullah153 :
Hii ipo wpa na unanzia wap had garama hizo za million 7 iwe imetosha tuelekeze
2026-10-21 11:05:29
0
abdy_salumu
𝐓𝐱_𝐨𝐩🦺 :
kak unatuonaje kwani ss[Cool]
2026-10-20 20:07:52
0
zamdaally482
Zamda Ally :
kaka samahani umejengea wapi kwa hiyo bei
2026-10-21 03:52:00
0
nurathysiriri632
Nurathy Siriri :
upowapi
2026-10-20 23:53:42
0
user7238027532314
Official Muya JR :
Pia naomba picha ya nnje ya hyo nyumba
2026-10-21 05:56:44
0
smile.haule
Smile Haule :
uzuri wake tumejenga Kwa hiy shoo tunaijua vizr
2026-10-20 19:47:02
0
tania.mwana
Tania Mwana :
ushakua content creator
2026-10-20 18:33:18
0
sharifashabani675
sheys baby :
urefu 12 upa15 jenaweza pata vyumba3
2026-10-20 19:35:19
0
ifacollection23
ifacolletion :
upo wap?
2026-10-20 20:17:12
0
khairaty.abdallah
Khairaty Abdallah :
Sasa wewe nimekuelewa vizuri..amufanyi kitu kwa tamaa....mubarimiwe sanaa...🥰🥰
2026-10-20 18:22:05
0
t...nyota.kubwa
Sophia Sophia :
🥰🥰🥰 nikirudi nitawatsfuta mpo wapi
2026-10-20 17:36:11
0
africanboy2697
african boy26 :
Mimi hpa nimekwama kwenye kupaua vipi mnakopesha bati niwe nalipa kidogo kidogo
2026-10-21 09:41:17
0
leticia.shija5
Leticia Shija :
mmmmmhhh
2026-10-21 11:51:06
0
nasriyahamid4
nasriyahamid4 :
Mhh hpn
2026-10-20 21:26:36
1
leticia.shija5
Leticia Shija :
kila kitu
2026-10-21 11:51:11
0
jason09507
Jason :
Hahaha uongo, ila hongera kwa kututoa uoga
2026-10-21 10:43:39
0
dubaifashion35
Dubai fashion :
mmmh kaka acha 😅😅😅 nachoka mm hayo mapigo na mwendo
2026-10-21 10:38:23
0
martinarobby5
simulizi za sauti (S.R.R) :
Au unamaanisha ni bei ya bati peke yake🤣🤣
2026-10-20 20:47:52
0
To see more videos from user @batibora2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About