Mbona kaacha distance kubwa sana kwenye overtake yake hapo katikati si gari moja inakaa kabisa
2026-10-21 05:15:30
1
msolid(said)🇹🇿🇹🇿🇧🇮🇧🇮 :
wote wanamakosa na wameshndwa kuelewana Kwa maoni yangu huyo wa opes anatakiwa aweke viashilia kuwa gari mbovu pia hata wewe unaeovatek hakikisha unaipita iyo gari na unakuwa salama Kwa kuludi kwenye foleni bili kuziba njia mawazo yangu lakni kama nmekosea samahani
2026-10-21 07:12:22
2
truck driver :
shida lugha hapo wameshindwa kuelewana
2026-10-20 19:23:32
1
Aries 21st March. :
Hapo ni ubaguzi ndio shida
2026-10-20 21:21:43
2
Emmanuel Ezekiel :
madereva. wa. Tz. kaz. kilalamika
alie haribikiwa. ha. viashiria
alie. kamatwa. yuko nje. ya. foleni
ni. kosa
2026-10-20 20:25:06
0
nyangasa :
Sama han lakin huyo mualibika haja weka viashilia kuwa imehalibika ndio shida
2026-10-20 22:08:17
0
Comment Truck D :
😂😂😂😂 aisee niulize nacheja nin?
2026-10-21 01:02:30
0
Adam Elias Mlenga :
kosa lake kaweka dabo parking angesubili adi iwe nafasi ya kuingia gari nzima
2026-10-21 06:37:05
0
Lusangija :
kosa la huyo dereva ni kutokusubili gari za folen zisogee mbele ndo alipite lile gari lililohalibika kisha aunge foleni na sio kuanzisha folen nyingine
2026-10-21 07:51:24
0
Didah Jose :
aisee me hàpoo watapenda naondoka naiacha hàpoo wamalizane na ofisi
2026-10-21 04:33:11
0
msuya said :
kosa lake hajaangalia kwa makadirio ya ukubwa wa gari yake kuwa nafas iliyopo inatosha kwa gari yake
2026-10-21 04:10:12
0
ben23 :
walishanifanyia mimi hivo wakachukua kwacha mia 400
2026-10-20 21:14:06
0
MR vibe :
kosa la hiyo gali haija overtake ime funga njia iliyo takiwa kua free ilibidi ukae nyuma ya hiyo gali mpaka upate nafasi mbele hilo ndio kosa usilaumu kk wako sahihi hao wazambia
2026-10-20 20:34:43
0
ngosha OG :
hao wapuuzi wamezidi ni kufunga njia watazidi kutuonea bila kushirikiana madereva watatufanyia ujinga kila iitwapo leo
2026-10-20 20:09:47
1
Mark Shari :
kwan dereva lena ama vp, unaipita gar iloharibika unatanulia mbali namna hiyo, angalia gari ya nyuma yake, apo kayataka
2026-10-21 05:08:19
0
power of money :
kwann aovatek asubili ipone😅😅
2026-10-21 07:08:40
0
JAHANGIRsMIRZA🔵 :
Kufuli ndio mnahangaika .
2026-10-20 20:27:37
0
papaa :
Fungeni barabara
2026-10-21 05:01:49
0
B.I.G :
itafika siku mtu atafia kwenye hakuna
2026-10-20 23:49:53
0
Majeje Iddi :
kwnn apo asinge nyoosha, mbaka aitoe kote uko
2026-10-21 04:45:19
0
Strait f Hormuz :
angesubiri gari yambele iende ili aki obertake gari mbovu aingie kwenye foleni moja kwa moja sio kukaa tela njiani apo ni sawa kulimwa
2026-10-20 22:11:29
0
Jofrey Issaria :
ametanua sana angalia hâta kidengla cha mbele imeonekana kama anataka kuovateki na hiyo yenye kidengla mbele yake ila angekiweka kidengla Kati angeeleweka Japon sio dhumuni lake lakini imeonekana hivyo mpe poleyake
2026-10-20 21:43:15
0
faiz salim :
Kosa lake ni kua hayuko kwao na kama unavo jua foreigner hana haki
2026-10-21 07:42:08
0
allyrider45 :
kwa hapoo mm monyeww ishawahii kunitokeaaa lakin kwahuyoo hakuwezaa kujiteteaa kwasababuu kazibaa getii la parking
2026-10-21 04:59:45
1
SenatorMerinyo :
Wapuuzi hao hata Wakenya wana askari wao pia wanaitwa Council (Kanso)
2026-10-20 19:12:18
0
To see more videos from user @godwilltruckdrive, please go to the Tikwm
homepage.