@jovano_world: #creatorsearchinsights #jovano_world #viral #fyp #tiktokcreator

JOVANO_WORLD
JOVANO_WORLD
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 20 October 2026 17:47:46 GMT
143204
14120
615
98

Music

Download

Comments

miamy059
TsaTsi💦💫💜 :
alfu apate ela amsahau kak yake🥲🥺🙏
2026-10-20 19:03:24
204
hajra561
HAJRA :
anakuwambia yeye kafeli hataki mdogo wake nae afeli big brother ❤️❤️❤️
2026-10-20 18:33:14
842
kapelo131
kapelo :
bila shaka hao ndo ma first born
2026-10-20 19:07:52
102
kisuda67
Glad collection :
Sijui nalia nini Ila Mungu ,akutunze mdg angu 😭😭😭😭🙏
2026-10-20 18:32:50
476
bahati03q
salama :
wazazi tunaleta watoto duniani alafu tunashindwa kuwatunza na hawajataka kuja kwenye dunia hii ni kihere here chetu kinachopolekea wateseke
2026-10-21 03:21:33
38
chufbrown
CHUF BROWN :
Hapo Kuna Mambo Haya ✌️
2026-10-20 18:45:44
31
mimar_love
Halima❤️ :
first born tunapitia mambo
2026-10-21 07:53:25
22
ratifa.raja
Ratifa Raja :
kama ujatoka familia ya kimasikini auwezi elewa maisha anayopitia uyu mtt nakumbuka nilikua natoroka shule saa tano mdgo wangu akiluhusiwa ile saa tano namimi naondoka nae ili nikaende shamba nikatafute ata mihogo mdogo wangu asishinde njaa
2026-10-20 20:46:52
29
kilolo.boy6
Ramadhani HassanHamisi :
nipe namba yako mkuu
2026-10-21 03:38:59
7
mary.samira5
Mary Samira :
ᴍᴍ ʜᴜᴀ ɴᴀᴛᴀᴍᴀɴ sɴᴀ ᴡᴀᴢᴀᴢɪ ᴡᴀɴɢ ᴡᴀɴɢᴇʟɪᴋᴜᴇᴘᴏ ɪʟᴀ ᴡᴀᴘ🤷‍♀️
2026-10-21 09:42:46
0
rose32y
Rose🦋✨ :
Huyu ndo Mimi 😪nilifanya kila kitu mdogo angu asome nashukuru mungu kasoma mpaka Leo hii kapata kazi aliosomea 🙏mungu ni mwemA kwakweli first born tunapitia mengi sana sio rahisi sana Big up brother 🙏
2026-10-21 07:22:24
5
mary.tesha6
Mary Tesha :
hongera sana
2026-10-21 09:00:21
0
shafii.ally72
ᴿᵉᵈ🦅ᵐᵒⁿˢᵗᵉʳ :
some bad situation in life
2026-10-21 04:57:23
0
margaritoraphael
margaritoraphael :
@esko donalds
2026-10-21 07:10:40
0
ibraqiis21
Ibrahim Sospeter | MLT Student :
Aseee upendo wa ajaabu sanaaa Allah awafanyie wepesi Inshaallah
2026-10-21 05:37:31
7
user9781813727295
ukhty zaitun :
nimekos cha kusema Ila namuonbea kwa mungu amnyooshee mkono wa Kher nawabark watot wote weny mazingira magum😭😭😭😭
2026-10-21 05:01:39
8
user255187mammy
mammy :
mung amfanyie wepes kwa kila hatua big brother ♥️mung akup nguv
2026-10-21 05:01:50
6
user3034458746141
kabakaa :
congratulations
2026-10-21 05:09:45
0
mwajuma00110
mwajuma 001 :
mm pia Niko Kam huy mtoto sitak wadogazangu wafel nipo nafanya Kaz za ndan mwaka wa4
2026-10-21 03:44:42
7
personallong
NAFSA nGULih :
Maaaskini Allah akutie nguvu mdogo wangu mungu akubariki ubaki na roho hiyohiyo 🙏🙏🙏🙏🙏😊😊
2026-10-20 17:58:15
154
haulemhzh6y
rose :
ukiniuliza nalia nini sijui 😭😭😭 Mungu wape kwanza awa mimi nitasubiri 🙏
2026-10-21 06:11:28
5
mama.wawili494
Mama Wawili :
Nnimekosa cha kuandika ila namuomba Mungu awaonkanie[Pray]
2026-10-20 18:44:18
67
user7058121257228
Anemaliana :
Mungu abariki kazi ya mikono yako
2026-10-20 18:55:28
27
tamrinah62
ℝ𝕖𝕜𝕙𝕒🩷 :
NA MM MNICHANGIE MJANE😂😂😂😂
2026-10-20 18:53:58
25
rey.hemed
Rey hemed :
Allah amfanyie wepesi inshallah huyu mtoto na mdogo wake 🤲🤲🤲🤲🤲🤲
2026-10-20 19:36:31
16
To see more videos from user @jovano_world, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About