@bizokid2: #viralll

bizokid
bizokid
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 20 October 2026 17:53:56 GMT
296368
10532
227
220

Music

Download

Comments

user3388196161674
user3388196161674 :
Wema nae kawaekea hii kusudi manake alijua mutaongea Yani anawapa kazi
2026-10-21 05:17:25
52
anna.sanga3
Anna Sanga :
Huyo sio mtoto wake mtoto wa rafiki yake shuu jamani tusijadir watoto wawatu
2026-10-21 03:56:26
91
gracebeut4
🦋grace beuty🦋 :
Sio wake uyo jaman😅
2026-10-21 07:55:49
3
rasi.nganzi
Rasi Ally :
mtoto atisha sana
2026-10-21 12:23:38
5
mahirajumaomar
mahira omar 🌺🌺🌺 :
binaadamu choyo nao MUNGU kamjalia kapata maneno alikuwa hana maneno hemu muacheni hii
2026-10-21 05:18:54
11
tkedgkl0vzftfp
salma :
Jmn mbn ivy jmn mung mwenyew ndo anajuw kama mtt wake au so mtt wake mbn mm Wang alikuw mweupe Saiv mweus jmn so vizur
2026-10-21 08:48:26
1
happymecky
Happy :
Katoto cha Taifa🥰
2026-10-21 03:43:38
4
da_sauda
Sauda Ngere :
mtomto wamtu hamuhusu mtu wamuache namtoto wake
2026-10-21 13:48:28
6
agathafelix85
Agatha felix :
vipi ziko pacha nn
2026-10-21 07:58:26
2
000zulfi9
Dazuuh🧢🔐🥰 :
Apo Kuna mambo haya ✌️
2026-10-21 16:30:40
4
judymwacha
judymwacha :
siyo ollie
2026-10-21 05:13:49
2
fatumasaidi2291
fatuma saidi :
sio uyu watanzania
2026-10-25 21:08:05
1
acreyg
🎀 ACREY 🍫🍨💊 :
Walivyokuwaaah wanapeana chumban ulikuwepo embu acheni kufatilia maisha ya watuuu 😏jmn Ina fika stage hd tunachokaah awe wake au Sy wake inawahusu 😏😏🙌🏾
2026-10-21 04:18:31
2
user6021784718453
it's Felicious 🥰🥰 :
Kwan Wema mwenyew anasemaj🌝🌝
2026-10-21 06:03:26
1
amgee16
Geepharl 💥💥 :
mtotoni mtoto jamani
2026-10-24 21:20:57
1
salmaminja3
salma minja :
sio wake
2026-10-20 22:39:36
4
stella.jj1
Stella Jj :
😅😅😅 jàmani
2026-10-20 20:46:35
1
user11580565270762
user1158056527076 :
Sio
2026-10-20 22:46:20
2
faryidamohammed
Fariyda Massanah Moh :
muacheni mtoto wa watu akue bila maneno
2026-10-21 08:44:36
1
user1367977158131
sarafina🥰🥰🥰 :
jamani muacheni wema jaman
2026-10-21 04:41:20
1
lilly.zackia
🦋Lilly zackia🦋✅️ :
appoo kuna mamboa hay✌️✌️
2026-10-21 18:11:44
1
user5455092180205
user5455092180205 :
sema wem
2026-10-21 06:18:51
1
user5254494283578
agdal :
sijaelewa
2026-10-22 18:59:42
1
habibah4461
habibah :
mtoto Huwa anakuaga cheupe akiwa mdogoo sanaa but Kuna sehemuu akifikia hapo hapo akiwa mdogoo anageuka na kuwa mweusii but atakuja kurudia rangii yake
2026-10-21 13:38:44
3
cutie2526girl
Minnah wa Goodluck ❤️❤️ :
Muacheni wema jaman ni miaka mingi akuwai kupata mimba ko atakama mimba ake ya AI mtajua ninyi ninampongeza tu ongera ake kwakupata mtto mungu akutangulie kwakila hatua na kingine MTOTO ANAWEZA KUZALIWA MWEUPE kadri Anavokua anabadilika na kuwa MWEUSI ko msishangaee mi mwenyew mama angu alihadidhia nilizaliwa mweus sana lakin kadri nilvozidi kukua mpka sasa mim ni mweupe sana na ninatumia mafuta yale bebicare😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-10-21 19:29:33
4
To see more videos from user @bizokid2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About