@baharimediaznz: DUUH HATUPOI!!! WAZIRI MAZRUI KALETA LINGINE, NI KUHUSU KAZI ZINAZOFANYWA NA SERIKALI YA DK. MWINYI —>> https://youtu.be/wwaPzzzRU5s -.-.-.-
Asklm hapa naona muono wangu hapajakaa sawa tunasema tuondowe usongomano mjini kweli vizuri. Lakini ki geograghia yetu tunawatowa sehemu zote za znz kuwaleta kwenye KONA ILIPO HOSP. Bile madaladala yatakuwa mengi na huu mji wetu wa stone town tunasema wa utalii.hapa tungejenga hotel tu kwa mazingira yalivyokaa na ma school yaondolewa mjinibbinadamu wanatokea mfano bububu aje mji school dalaladala nyingi za kuwaleta binadamu sisi waswahili ukitwambia msije mjini ndo tutakuja lakini ukiondowa vitu vidogo vidogo mji utabaki hadhina yetu kwa ajili ya utalii
2026-10-21 07:12:47
0
ahb :
vipi kuhusu hospital yetu ya wete
2026-10-21 02:41:36
0
Safia khamis :
nakukubali sanaaaa
2026-10-21 16:52:14
0
Mr Home :
mashallah ndio kitu muhimu [Red heart][Red heart]
2026-10-21 01:37:37
1
Ahmed Iddy :
hospital ya wete vipi
2026-10-21 11:43:53
0
kitenei :
Naam, hilo ndio muhimu analoongea Engineer Mazrui ila Vp kule PBA zile zahanati ndogo ziboreshwe na kuongezwa k
ziko mbali2 sana masafa marefu tunaomba ziongezeke
2026-10-21 12:06:41
0
Salum Haji :
💯💯💯🌹🌹🌹🌹🌹🌹
2026-10-20 20:17:46
2
To see more videos from user @baharimediaznz, please go to the Tikwm
homepage.