@bilwizy: Plz🥹🙏 #tanzaniantiktok🇹🇿 #fyp #foryoupage❤️❤️ #tiktok #fyyyyyyyyyyyyyyyy

Bilwizy..🥷
Bilwizy..🥷
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 20 October 2026 18:50:50 GMT
30842
1831
58
221

Music

Download

Comments

pinky_kudrat
pinky__cakes🎂🦋❣️ :
Kuna muda utatamani urudishe siku nyuma mtu wa aina hii usikutane nae wala kujuana nae kweny maisha ya mbele .,nashindwa kusem kil kitu ila inaumaa 😭🙌🏼
2026-10-29 21:05:37
11
itsgirl2510
꧁🌸𝐈t's 𝐆𝐢𝐫𝐥🌸꧂ :
Hali yangu Kwa Sasa 🥹🥹
2026-11-24 07:31:18
1
a7.business.tips
A7 Business tips :
huyo ni mimi kabisa nilimpenda bint mmoja zaid ya upendo wa kawaida uwepo wake kwangu ulikua kila kitu alinionesha upendo na thaman kubwa hakika nilijiona mimi ni wa thaman san ila ghafla mamb yakabadilika sasaiv nimebak tu kuwa mtu wa kulia najitahid kusahau lakin nashndwa sion mbele zaid ya giza😭😭
2026-11-15 19:02:24
1
anna.malima97
💥sweetieyeobo💘💦 :
Pole man kila mtyu anapitia maumivu ila kuna watyu hawajali Kuhus wewe na maumivu yako now unaumia yeye a naona sawa huko aliko naye ipo karma itamrudia
2026-10-21 00:22:40
3
mrs..mine37
user34460505290 :
Pole
2026-11-08 18:33:00
1
galaxy.lolo26
l.o.l.o :
mbona kama nazungumziwa mim🥺🥺🥺
2026-10-20 20:58:37
5
fakhra113
فتمة ❤️ :
usijikatie tamaa na rehema za Allah bd una nafasi ya kuishi muombe sanaaa Allah akupe furaha na shifaa ya kupona na kusahau muwek Allah mbele Kwanzaa in shaaa Allah utapona 🙂
2026-10-22 06:04:29
4
mohamediswalehe87
Mohamedi Swalehe :
tafuta maji unywe kisha vuta pumzi kisha sema Alhamdullih ni dawa kubwa kw mwenye mawazo
2026-11-05 06:22:03
4
flower_of_jannah0015
flower🥀_of_Jannah🌺 :
usiombe uwe n maumivu hlf huwez kuyaonesha ndan kwenu😭😭😭
2026-11-08 10:39:27
1
ryam.haydan001
🫀🤍الآريEryd@r🌹 :
it's me Alhamdulillah for everything in my life
2026-10-21 16:55:03
1
julypaul2
july :
Hali ninayoipitia mimi sasa
2026-10-21 18:04:28
1
mry.m772
maryam :
alhamdllah yarab🤲,that's all I can say..
2026-10-21 07:17:04
1
msokoro6
msokoro :
Mimi kipindi naangalia movie watu wanaumizwa na mapenzi wanalia nawaona wajinga Tu rafiki angu aliumizwa nae nikamuona Hana akili kipindi hicho sina shobo na mapenzi, lakini jamani mapenzi yanauma Yule nilimpenda kiasi kwamba nikawa nashindwa hata kujikotro , ukweli Yule alijua udhaifu wangu maana nilimpenda kiasi kwamba hata yeye alijua sina mwingine,💔akaja kunambia tuachane bila sababu jaman aha niliona duniani changu ety ,mpaka sasa miezi 2 umepita lakini bado sijawa sawa kwa asilimia
2026-11-14 04:02:23
1
robson.dominicus
Robson Dominicus :
jifunze kutengeneza furaha yako mwenyewe watu wanabadilika sana
2026-10-21 09:16:24
1
drantlove770
Drant 👁️ :
The same 🤷‍♂️
2026-10-21 17:51:49
1
daddy.ayka
Mushar Bayat⛎ :
2026-11-06 16:47:29
1
mrs.james215
mrs james :
2026-10-21 07:08:36
0
dalilahyusuph
dalilahyusuph :
mhhh 💔
2026-11-17 21:23:16
0
shamsajuma746
Shamsay🤎🍂🧸 :
kaza
2026-11-18 18:40:18
0
zamil.creed0
Zamil_03.🦅 :
2026-11-18 07:44:24
0
chford.10
Chford 10 :
daah tumeachwa wote bro mm pia ivyo ivyo yang kam unajua ninayo pitia mm
2026-11-19 21:12:33
1
user88488218135411
Abdul-razak Jr Juma :
Pole sana Mungu akujaalie sana tena uwe na subra
2026-11-23 11:23:20
0
nuustore06
Nuu store :
Situation🥺💔🤦‍♀️
2026-11-18 22:25:56
0
radhia_sultan01
radhia sultana👸🏽 :
Inauma
2026-10-25 11:51:48
0
To see more videos from user @bilwizy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About