@1996_oscar: #onthisday

R dvj_fally. ONE ♥️
R dvj_fally. ONE ♥️
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 20 October 2026 19:45:21 GMT
57867
2735
156
87

Music

Download

Comments

phina.elias
Phina Elias :
nipate watu kama hawa wa5 tu 😂😂
2026-10-20 21:41:20
30
venosa.victory
Venosa Victory :
Abiriy yes
2026-10-21 06:05:56
0
amirisaidi3
amirisaidi930 :
Nimewapenda abilia endeleeni kua na ushilikiano huo huo 🤣🤣🤣🤣
2026-10-21 03:19:52
35
jafari.samnele
Jafari Samnele :
polic hanahatia
2026-10-21 04:11:01
1
budymwanalukome00
BUDY ❓️ :
NIMESIKIA. [ MAGUFULI ] JAMANI ASANTENI KWA KUNIPA MOYON🥰🥰🥰
2026-10-21 04:44:30
20
saki0275
Saki-02 :
Hawa ndio habiria wenye msimamo sio wale wanao warekodi madereva na kuwapost.
2026-10-21 04:30:38
18
ezra.mandela
papaa msomali :
serikali yetu imeoza Kila kona
2026-10-21 03:44:17
14
user5240615024426
Rebecca Richard :
hapo kweli Tanzania 🇹🇿 tukipata watu kama nyieeee 20 basi shinda zitaisha
2026-10-21 03:12:27
17
sebauv48
ben23 :
imebak mapinduz ya mwaka 2026😁😁😆😅
2026-10-20 21:23:03
11
appleuser53832618
Faisylen :
Hapa ni wapi
2026-10-21 05:10:05
5
zumbezedon.mkonje
CASCARABIAS MKONJE :
Watu washaanza kujielewa taratibu
2026-10-21 15:05:57
4
directormjagongo
DIRECTOR MJA GONGO :
Vituo vya mabasi vipo,kila basi linaanza safari kuanzia kwenye kituo husika,kwanini askari wasiwe wanaenda kukagua mabasi stendi kabla hayajaanza safari hadi wasubiri watu walipe nauli waingie ndani ya basi waanze safari ndiyo barabarani muanze kukagua usalama wa basi,nchi ya hovyo kabisa hii[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-21 05:21:58
5
user359769601074
ENG Juma :
Nchi gani iyo 😂🤣😆😂🤣😂😂😆😅
2026-10-21 03:46:11
5
maufund64
Mau Fundi Tanzania 🇹🇿 :
Nakubali wadau wang wa road
2026-10-21 04:31:04
5
user4694971199906
user4694971199906 :
Mbona kila mtu anajiamulia mambo
2026-10-21 05:04:28
5
user5278167958247
jumachuo :
safi sana msimamomsimamo bravo abiŕia
2026-10-21 04:38:10
5
said.20250
said :
Muingizeni kwenyebasi msafirinae
2026-10-21 08:20:15
4
mabula.masunga6
Mabula Masunga :
wapi hapo mbona kama nimeona Gali ya kuenda nyumbani imepita yakutoka Tanga to baliad kapilikon
2026-10-21 05:39:37
4
ramadhanmaganga13
Ramadhan Maganga :
nyie humujui kua traffic wanapeleka hesabu kwa wakuu wao ka bodaboda vile asipo peleka anatolewa barabarani na wao hawati
2026-10-21 05:17:37
5
user6673224952526
Biraly :
waambieni awo
2026-10-20 21:52:41
3
daudi.alex70
Daudi Alex :
kabisa wamezoea
2026-10-21 04:54:53
1
brandin2006
user61940174288770 :
aseee ila trafick wangetafutiwa kazi ingine
2026-10-21 16:53:45
1
stanslausstoranti
matimla 90191610 :
safi abilia
2026-10-21 11:06:18
1
dobeky.gorden5
Dobeky Gorden :
mnachelewa mtekeni nendeni nae hadi mwisho wa safari
2026-10-21 04:29:28
1
fadhirikitinusa
Mr kitinusa :
natamani kujua tatizo lilianzia wapi
2026-10-21 07:23:27
1
To see more videos from user @1996_oscar, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About